Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
amezeeka mno.umeshamuona live hivi karibuni?
hivi eee ??? Sijamuona
sasa anahangaika nini
kila siku magazetn,
kwenye matv?akakae
munduli anywege maziwa apumzike?
amezeeka mno.umeshamuona live hivi karibuni?
Watanzaniaa?akigombea watampa tu kura,hilo mbona liko wazi?cjui tumerogwa!
hivi eee ??? Sijamuona
sasa anahangaika nini
kila siku magazetn,
kwenye matv?akakae
munduli anywege maziwa apumzike?
ana ugonjwa ule kutetemeka nimesahau jina la kitaalam zaidi,wewe mchunguze kwa makini akiwa kwenye movement utagundua hilo kua bwana manywele anaumwa sana na hyo ni laana ya mungu
kwani dhambi ya lowasa ipi?mbona hamumhukumu jk wakati ndye aliyeiingiza nchi chakani kutuletea richmond?lowasa c alisema ni jk sasa mbona bado lowasaaa lowasa mumkome mzee wa watu.
nadhani lowassa hana nia ya kugombea urais 2015.im sory to say lakini afya yake hamruhusu kupambana na kashkashi za urais.mwacheni mzee wa watu apumzike!!
Jamaa atazuiwa na janga la Kimungu tu !Ana ugonjwa ule kutetemeka nimesahau jina la kitaalam zaidi,wewe mchunguze kwa makini akiwa kwenye movement utagundua hilo kua bwana Manywele anaumwa sana na hyo ni laana ya Mungu
Yoote kwa yote kwa Watanzania hata ukiweka jiwe watalichagua!!
Mkuu!
Huyu ni kama maji ya moto na siku zote hayachomi nyumba!!
Yule anayelipia gharama za mahujaji 100 kila mwaka humuoni?, hutaki achangie mambo ya kijamii?!, unapendekeza afanyenini ili ufurahi?, kwani wewe huoni kama ndo mtu pekee anayefaa kuwa rafiki baada ya huyu smiling boy kuharibu nchi?!.
Yule anayelipia gharama za mahujaji 100 kila mwaka humuoni?, hutaki achangie mambo ya kijamii?!, unapendekeza afanyenini ili ufurahi?, kwani wewe huoni kama ndo mtu pekee anayefaa kuwa rafiki baada ya huyu smiling boy kuharibu nchi?!.
Fadhila! Nilazima apitishwe na akishakuwa rasmi basi mbinu zozote zitatumika kuhakikisha ushindi wa kishindo. Unadhani anatumia makanisa bure? 2015 atakuwa chaguo la mungu!