Kisesa Yetu
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 434
- 344
Hakika Mkuu.hawezi kuimaliza,ataenda baadhi tu.
sasa cuf ndo watafanya kazi ya kutafuta kura,maana mnyika,lisu licha ya kuonekana kujiweka pembeni,watakuwa busy kutetea majimbo yao,akiwemo mbowe pia
Kuna kitu nimeshindwa kukielewa..Nimesikia mgombea urais kwa ticket ya Chadema mh Edward Lowassa akisema kuwa anawaomba watu wa Dar wampigie kampeni kwa ndugu na marafiki walioko mikoani..Je hataenda mikoani kujinadi? Je, hii inaweza kuwa na uhusiano wowote na haliyake ya kiafya?
Amewaomba watu wa Dar es Salaam wamuombee kura mikoani.
Waambie wa mikoani waende wakacheki kwenye website... Hatokuja huko
Amewaomba watu wa Dar es Salaam wamuombee kura mikoani.
Jipotosheni wenyewe kwani mna akili! Lowasa amesema kwa kuwa watu wa dar wametokea mikoa mingine wameacha ndugu zao mikoani wamuombee kura kwao! Maana yake ni kwamba kama una mama yako huko mtwara mwambie achague Lowasa!
Kampeni mkoani lesho Iringa nendene mtakutana naye!
Kama na mimi hamjanielewa kamuulizeni katibu wenu kidogo ana akili atawaelewesha!
Ahahahaaaaaa
Magufuli ameshakaukiwa sautiLowassa na afya ile akizunguka mikoa yote akamaliza bila kuzimia au kuanguka najibeba....worst case tunaeza okota maiti..
Watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! maigizo haya sijui yataisha lini