Lowassa hasafishiki

Ufisadi sio agenda tena kwa Watanzania, imeshapitwa na wakati Hiyo, tafuta agenda nyingine mpya
waambie hao mkuu wakat lowasa ananadi sera wao wanakomaa na rchmond mmechelewaaa saaNaaaaa

lowasa ndo tunaini letu
 
Hahahaaa.....imebidi nicheke tu. Hizo story labda peleka mtaa wa lumumba pekee. Huku vijijini na mijini ni lowasa/ukawa tu
 
Ccm mtahangaika sana na lowasa lakini watu tunampenda kweli kweli mtamchafua sana lakini ndio mnamwongezea nguvu rais wetu ajaye
 
Nina mahaba kwa Lowassa, sisikii siambiwi kuhusu Mr.Presidaaa
 
Nina mahaba kwa Lowassa, sisikii siambiwi kuhusu Mr.Presidaaa
[h=3]LOWASSA ANA KIGEUGEU NA KUBADILIKA BADILIKA[/h][h=2]

MTU HUYO HUYO ANAINGIA KANISANI




MTU HUYO HUYO ANAENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI



MTU HUYO HUYO ANARUBUNI WATU KWA KUJIFANYA KABADILI DINI



MTU HUYO HUYO ANAHONGA FEDHA



MTU HUYO HUYO ANA KIGEUGEU KATIKA HOTUBA ZAKE


LOWASA HUFAI NA HUTUWEZI KUKUAMINI

Lowassa kwanini una Kigeugeu namna hii?

[/h]
 
haya umesikika mwambie aliyekutuma akupe buk 7 yako. sisi hatubadiliki kwa sasa. shida yetu ni kuitoa cc m madarakan tu.
 
Mr Chin Usiyempenda ndiye atakuwa Rais wako....Mark maneno yangu! Kwa hiyo epuka kutumika vibaya utakuja kuregreat siku si nyingi!
 
Last edited by a moderator:
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe ccm mumeshindwa kutangaza sera za nini mumewafania watanzania miaka muliyokaa ikulu munamuongelea lowasa kweli munadhihirisha munavyomuogopa
 
Mkuu ingekuwa ni mimi nisinge pata shida kama hii unayopata ya kuanzisha posts kila kukicha halafu watu makini wanazipuuzia. Hakuna kitu kibaya kama mtu unajitahidi kwa hali na mali kutafuta vitu vya kuandika kisha unapokuja kuwaeleza watu wakaamua kukudharau na kusonga mbele. Inakatisha tamaa. Kumbuka watu wana mpenda Lowassa na hawata acha kumpenda pamoja na yote hayo mnayo andika kwa ubaya.
 

#HapaKaziTu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…