Lowassa hana nia ya kujenga upinzani

Lowassa hana nia ya kujenga upinzani

juzi wakati akihojiwa na bbc swahili alipoulizwa ataana nini baada ya kushindwa urais mheshiiwa lowassa alijibu ataenda kijijini kwake kuchunga ng'ombe.

Katika hali ya kawaida unaona kuwa badala ya kusimama na kusema atajenga na kuimarisha upinzani, yeye anasema anarudi kuchunga na kwa maana hiyo hana dhamira ya dhati ya kuimarisha wala kujenga upinzani ila yeye kwake urais ndiyo kila kitu.

Kwa maana hiyo watanzania lazia tuue dhamira za wagombea wetu na hali halisi ya kutuletea maendeleo.

Lowassa hawezi kuleta maendeleo yeye ni urais tuu na zaidi ya hapo hana mchango wowote kwa taifa.


nitamchagua mwadilifu magufuli.
 
nitamchagua mwadilifu magufuli.

Hata waliosema uongo bungeni hadi wakaumbuliwa na CAG kuhusu malipo hewa ya pesa za barabara nao ni waadilifu?waliogawia mahawara na ndugu zao nyumba za serikali nao ni waadilifu? Lets be serious.!
 
Ww achafikra fupi ,sasa akasaidiane na wezi.bora akajichungia tu kuliko kumsaidia mwizi
 
kwani maghufuli akishindwa ataijenga ccm?
Kwa Magufuli asiye na experience ndani ya chama(CCM), tofauti na Lowassa(aliyekuwa kada ndani ya CCM, ingawa naye anapwaya katika nafasi ya uongozi ndani ya CHADEMA).

Angejiuliza hili swali asingeleta cheap thread.
 
Baada ya uchaguzi kesho chama kikuucga upinzani kitakuwa ccm.... wewe unataka edward aimarishe ccm ya nn? Zaidi tutaivuruga kwakumpa makofuli wizara maana atlist ana kauwezo....
 
Kama hajui hiyo kauli imemfurahusha sana Mbowe, maana alikua anahofia Lowassa anaweza kuhodhi nafasi yake ya Uenyekiti!
 
lowasa katika kampeni zake zote hajafanya chochote.hawezi upinzan,hatoweza kuleta mabadiliko nchini.mabadiliko ya kwel ni ndani ya ccm mpyaaa ya magufuli.HAPA KAZI TU.ccm oyee
 
Back
Top Bottom