Lowassa hana nia ya kujenga upinzani

Lowassa hana nia ya kujenga upinzani

marryan

Senior Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
108
Reaction score
37
Juzi wakati akihojiwa na bbc swahili alipoulizwa ataana nini baada ya kushindwa urais mheshiiwa Lowassa alijibu ataenda kijijini kwake kuchunga ng'ombe.

Katika hali ya kawaida unaona kuwa badala ya kusimama na kusema atajenga na kuimarisha upinzani, yeye anasema anarudi kuchunga na kwa maana hiyo hana dhamira ya dhati ya kuimarisha wala kujenga upinzani ila yeye kwake urais ndiyo kila kitu.

Kwa maana hiyo watanzania lazia tuue dhamira za wagombea wetu na hali halisi ya kutuletea maendeleo.

Lowassa hawezi kuleta maendeleo yeye ni urais tuu na zaidi ya hapo hana mchango wowote kwa taifa.
 
Hahahaaaaaaa.......eti nikikosa ntaenda kuchunga ng'ombee......maana yake ni kwamba hana shida ya kusaidia chadema baada ya hapo...ila ni tamaaaa za urais tuuuuu
 
Juzi wakati akihojiwa na bbc swahili alipoulizwa ataana nini baada ya kushindwa urais mheshiiwa lowassa alijibu ataenda kijijini kwake kuchunga ng'ombe.
Katika hali ya kawaida unaona kuwa badala ya kusimama na kusema atajenga na kuimarisha upinzani, yeye anasema anarudi kuchunga na kwa maana hiyo hana dhamira ya dhati ya kuimarisha wala kujenga upinzani ila yeye kwake urais ndiyo kila kitu.
Kwa maana hiyo watanzania lazia tuue dhamira za wagombea wetu na hali halisi ya kutuletea maendeleo, lowassa hawezi kuleta maendeleo yeye ni urais tuu na zaidi ya hapo hana mchango wowote kwa taifa.
Nia yake ni kuua upinzania na amefanikiwa
 
We mpumbavu sana kwani mwanasiasa hatakiwi kuwa Na shughuli nyingine zaidi ya siasa? Jamani kama una Kiwango kidogo cha ubongo sio vema kuleta thread humu pumbavu
 
We ukikodi ngaz kwa jirani kupandia kwny Bati ukimaliza kazi yako ni kuirudisha kwa mwenyewe ukarabati haukuhusu, hakuna mwny kujua mkataba wa kukodi chama kipengele cha kuimarisha chama kama kilikuwepo Lowassa anaheshimu makubaliano hataki ugomvi na mwenye chama
 
Kama lowassa akiwa rais ...basi hhata mimi ntakuwa rais 2020
 
wahenga walisema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". duuu kweli jamaa kaja kuua upinzani.
 
makufuli alimkimbia Zuhura Yunus, anamkimbia hata mwanamke?
 
tunachohitaji kwa lowassa ni atuengezee nguvu ili kuing'oa ccm bas,baada ya hapo kama atakuwa mchumga mbuzi au nani hayo ni yake
 
Hahahaaaaaaa.......eti nikikosa ntaenda kuchunga ng'ombee......maana yake ni kwamba hana shida ya kusaidia chadema baada ya hapo...ila ni tamaaaa za urais tuuuuu

Asiyejua Maana Haambiwi Maana, Maana Akiambiwa Maana Ataiharibu Maana Na Haitakuwa Maana Tena.
 
Juzi wakati akihojiwa na bbc swahili alipoulizwa ataana nini baada ya kushindwa urais mheshiiwa Lowassa alijibu ataenda kijijini kwake kuchunga ng'ombe.

Katika hali ya kawaida unaona kuwa badala ya kusimama na kusema atajenga na kuimarisha upinzani, yeye anasema anarudi kuchunga na kwa maana hiyo hana dhamira ya dhati ya kuimarisha wala kujenga upinzani ila yeye kwake urais ndiyo kila kitu.

Kwa maana hiyo watanzania lazia tuue dhamira za wagombea wetu na hali halisi ya kutuletea maendeleo.

Lowassa hawezi kuleta maendeleo yeye ni urais tuu na zaidi ya hapo hana mchango wowote kwa taifa.

Magufuli rais had ikulu
 
Aweze wapi nguvu za kufanya hivyo atoe wapi mtu mwenyewe anaendeshwa tu na mbowe yaani hajielewi
 
juzi wakati akihojiwa na bbc swahili alipoulizwa ataana nini baada ya kushindwa urais mheshiiwa lowassa alijibu ataenda kijijini kwake kuchunga ng'ombe.

Katika hali ya kawaida unaona kuwa badala ya kusimama na kusema atajenga na kuimarisha upinzani, yeye anasema anarudi kuchunga na kwa maana hiyo hana dhamira ya dhati ya kuimarisha wala kujenga upinzani ila yeye kwake urais ndiyo kila kitu.

Kwa maana hiyo watanzania lazia tuue dhamira za wagombea wetu na hali halisi ya kutuletea maendeleo.

Lowassa hawezi kuleta maendeleo yeye ni urais tuu na zaidi ya hapo hana mchango wowote kwa taifa.

magufuli rasi
 
magufuli rais
 
Back
Top Bottom