Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,860
- 50,644
Huwa sielewi akili yako inawaza nini?Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufanya umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Huwezi kuelewa!!Huwa sielewi akili yako inawaza nini?
Bora nisiielewe maana nitaweza matatizo ya akiliHuwezi kuelewa!!
Ni sawa na mtu asiyejua kusoma aseme hawezi kuelewa maneno yaliyoandikwa Ubaoni. Sasa hawezi kusoma ataelewaje kilichoandikwa?Bora nisiielewe maana nitaweza matatizo ya akili
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Aidha alionewa au hakuonewa alikuja CHADEMA baada ya KUKATWA[Kutolewa kwenye ugombea urais wa CCM]. Kama angepitishwa asingejiunga CHADEMA.Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Hapo ndiyo hoja yangu ilipo. CCM haikuwa na ubavu wa kumfukuza Lowassa na hata alipotoka si wao waliomtoa bali ni yeye mwenyewe alitoka. Kwa maana nyingine ile hoja kwamba CCm ndiyo ilimkataa Lowassa kutokana na ufisadi wake ni uzushi wa kina Nape na hao "List of 46".je angepitishwa kugombea urais ingekuaje sasa hapo!!? nieleweshe plz angekataa au ingekuaje
Achana naye huyu mlokole wa kanisa la bavicha.Huwa sielewi akili yako inawaza nini?
"Kukatwa" ni jambo linalofanywa kwa kufuata taratibu lakini kama taratibu hazikufuatwa ni uonevu. Kuna wakati Mkapa alijiona ni Amiri Jeshi Mkuu akawafukuza kazi Makamanda wanne wa Polisi, wale watu walijua kwamba Mkapa hana mamlaka hayo wakaenda Mahakamani na wakashinda Kesi. Kukatwa bila kufuata taratibu ni uhuni!!Aidha alionewa au hakuonewa alikuja CHADEMA baada ya KUKATWA[Kutolewa kwenye ugombea urais wa CCM]. Kama angepitishwa asingejiunga CHADEMA.
Haleluyah!! Kama hata huko mnajua mimi ni mlokole, basi nimebarikiwa!!Achana naye huyu mlokole wa kanisa la bavicha.
Naona umezaliwa leo saa moja asubuhiKuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Sio umebarikiwa bali umechanganyikiwa.Haleluyah!! Kama hata huko mnajua mimi ni mlokole, basi nimebarikiwa!!
Ok tuseme uko sahihi. Je wasingemfanyia huo uhuni angekuja CHADEMA?! Huoni ndio unazidi kuonyesha kilichomleta CHADEMA ni 'kukatwa'?"Kukatwa" ni jambo linalofanywa kwa kufuata taratibu lakini kama taratibu hazikufuatwa ni uonevu. Kuna wakati Mkapa alijiona ni Amiri Jeshi Mkuu akawafukuza kazi Makamanda wanne wa Polisi, wale watu walijua kwamba Mkapa hana mamlaka hayo wakaenda Mahakamani na wakashinda Kesi. Kukatwa bila kufuata taratibu ni uhuni!!