Lowassa, Dk. Slaa, tusipotoshe ukweli

Lowassa, Dk. Slaa, tusipotoshe ukweli

mkulimawakiteto

Sisi ni ndugu zake Dr. Slaa tunamjua kuliko wewe aliyesema Gwajima ni kweli.Na acha haki itendeke hakuna mwenye nafuu wala afadhali komebi kumchafua Lowassa na kuwaaminisha watanzania hafai kuli hali mnajua hayo mnafanya kwa maslahi yenu.Yuko Mungu Anayehukumu kwa haki.Na kama Mungu aishivyo mipango yote dhalimu ya kuendelea kumtesa na kumgandamiza maskini haitafanikiwa hata kidogo.Adui wote wa maskini wameinuka kwa njia moja watatoweka kwa njia saba.Siku inakuja na sasa ipo ambapo furaha ya Maskini itakuwa ni msiba mzito kwa walafi na hao wamuabuduo shetani wa nchi hii
 
Last edited by a moderator:
Ukimsoma vizuri muandishi wa makala hiyo Privatus Karugendo, utamuelewa, lakini kama ukiwa na akili fupi iliyochanganyikana na mahaba ya UKAWA na Lowassa, huwezi kumuelewa!
 
Namna alivyondolewa Dr Slaa chadema naifananisha kama namna alivyoondolewa Samwel Etoo Barcelona. Tokea kipindi hicho sijawahi kuifurahia Barcelona tena.
Unaandika ukiwa umatokea nchi za nje au upo hapa hapa Tanzania.Inamaana wewe hujui Slaa kajiondoa Chadema na aliombwa a kuabudiwa ili arudi akakataa.Hivi unafikiri ccm ndiyo imeumba Tanzania.Lazima tujue Tanzania ni yetu wote.Kila msaliti wa haki na ukweli ataadhibiwa na natural law kikamilifu.Ach kujitoa ufahamu.Wote waliojiinua kinyume cha haki na ukweli na kutumia kodi zetu kwa lengo la kumchafua mtu na kujisahau hata wao ni wachafua yatawakuta mambo makuu wataanguka siku moja na wasijue kilichowaangusha.
 
Hoja siku hizi imekuwa kwanini amkumpeleka mahakamani hawa majamaa ata kesho wanaweza kuibuka na kutuambia Rostam Aziz amekuwa anasingiziwa tu kwa muda mrefu, wakati ni wao wenyewe ndio waliotumia nguvu nyingi kutuaminisha huyo mtu afai kama walivyofanya kwa Lowassa wanaemtetea leo.

It begs ze kwesheni kama kweli ni waumini wa kile wanachosema kama wanaweza jikana wao wenyewe pia hadharani. Maswali ni mengi kuliko majibu kwa wale wanaoamini uongozi wa CDM chini ya Mbowe niwakutukuka.

Sasa na wewe mtu mhalifu anatakiwa apelekwe wapi? Mhalifu yeyote sheria inatakiwa ichukue mkondo wake mbona mramba na yona wapo jela wengine kwa nn hawajapalekwa toka 2008 walipojiuzulu?
 
Wewe ufisadi hauwezi kuwa mwisho wakati mtarajiwa wenu ndo fisadi nyangumi, na kukishakuwa na ufisadi UJINGA,UMASIKINI,MARADHI,UJANGILI, NA MIKATABA MIBOVU lazima viongezeke kwa kasi ya ajabu kisemo chake.

Acha kukariri wewe, toka ameondoka serikalini mwaka 2008 ufisadi umeisha? ESCROW, meremeta, EPA, nyumba za serikali, net group solution, mikataba mibovu, kivuko cha zamani kwa bei mpya, vyote kavifanya Lowassa? Twiga kupanda ndege, kuuliwa kwa ndovu, hivi ni Lowassa aliyechukua hela kwenye viroba pale Stan Bic bank? Usitumie masaburi kufikiria
 
Acha kukariri wewe, toka ameondoka serikalini mwaka 2008 ufisadi umeisha? ESCROW, meremeta, EPA, nyumba za serikali, net group solution, mikataba mibovu, kivuko cha zamani kwa bei mpya, vyote kavifanya Lowassa? Twiga kupanda ndege, kuuliwa kwa ndovu, hivi ni Lowassa aliyechukua hela kwenye viroba pale Stan Bic bank? Usitumie masaburi kufikiria

Huu unaweza kuwa utetezi kweli? Sasa Chadema tunajibu hoja hivi? Hii nchi siasa ni kiini macho ....mnapoteza muda tu ....
 
Karegendo yupo sahihi ila hakuna namna kwakuwa mbowe ameuza cdm nakwakuwa delila amemwuza dr slaa kwa ccm,nakwakuwa tunapenda mabadiliko kura yetu kwa luwasa tu hakuna mwngne
 
Tupo tayari kuitwa majina yoyote mpendayo lakini shida yetu ni huyo jini mnayemkumbatia kwa miaka mingi bila kuona kinachofanyika nyie endeleeni na hoja za dr.Slaa wacha sisi tusonge mbele tunaamini tutakutana mbele ya safari.
Kalugendo ni vigumu sana kubadili kaniki kuwa nyeupe. Kwa wale wasojua kaniki ni vazi jeusi huvaliwa ns wamama kama kitenge
 
Karugendo,Nawe kama sikosei ni kasisi wa calibre ya Slaa.Ni ukweli usiopingika kwamba Dr alikuwa na lengo la kutufumbua macho juu ya kiongozi anayewania kuongoza taifa hili.Watu wangemuelewa vizuri kama angegusia upande wa pili wa shilingi kwa kueeza pia Ccm imefanya mabaya mangapi dhidi ya watanzania na kuwafahamisha ni vipi huyo mgombea anavyoweza kudhibiti fisi waliomzunguka ili hali yeye ni mwanakondoo. Kitendo cha kutogusia Escrow.Kiwira,epa nk ndicho kinapelekea jamii ya kitanzania imchukulie kama ametumwa vile.Huko alikoelekeza kisogo chake ndo kiwanda cha kupika maovvu kwani hata anayemzungumzia ametengenezwa huko huko nao wakafumba macho.
Pia kitendo cha Slaa kukiri kwamba

a alikutana na Mwakyembe muda mfupi kabla ya kutable alichokusudia nalo ni ombwe lingine.Nami naungana na lile kundi linalomwona Dr alikuwa pia msaka madaraka.
Mfikishieni salaam hizi huyu Karugendo na asalimie parokia yake huko Bushangaro Krg.
Tunakuhabarisha Lowasa anaenda kuongoza Tanzania kwa kibali cha Mungu huyu huyu unayemtumaini wewe nami pia.

Karugendo naye ni mnafiki. yeye kama kweli angekuwa mkweli angeona wazi kuwa chanzo has cha sakata hili ni Mushumbushi kukosa u first lady.Anasema maisha binafsi yasijadiliwe mbona yeye anamjadili Rose kamili?
 
Sasa na wewe mtu mhalifu anatakiwa apelekwe wapi? Mhalifu yeyote sheria inatakiwa ichukue mkondo wake mbona mramba na yona wapo jela wengine kwa nn hawajapalekwa toka 2008 walipojiuzulu?
Kwa sababu ni wao ndio waliokuwa vinara wakutuambia Lowassa ni wakufungwa ina maana pia wanatakiwa kuwa na ushaidi pia.

Hivi kesho wakiibuka na kutuambia escrow aina makosa na hakuna ushahidi utawaelewa kweli si ni wao ndio walivalia njuga na kufanya kila mtu aamini kuna watu walienda na mikokoteni kuchota hela; leo tena mara tu iwapo wahusika waliokuwa wakiwashutumu wakiamia CDM waanze kubadilisha kauli na kutaka serikari ithibitishe uoni kama ni watu wasio na principles already on what they stand for.

Tatizo sio watu kufungwa tatizo ni kuwa na kanuni usizoziamini uoni kama ao watu ni waongo tu, hivi ni nani Tanzania apewe credit kwenye kuambia umma Lowassa afai? na nani leo anataka serikari ndio ithibitishe kile kile walichokuwa wanadai wanao ushahidi wote kuhusu Lowassa.
 
tukutane October 25, kura yangu kwa lowasa, huyo Dr Slaa hapa mwishoni ameonyesha ubabaishaji sana. hawezi kuaminika hata kidogo
 
11863286_411982745663608_6442495010856148056_n.jpg
 
Sasa na wewe mtu mhalifu anatakiwa apelekwe wapi? Mhalifu yeyote sheria inatakiwa ichukue mkondo wake mbona mramba na yona wapo jela wengine kwa nn hawajapalekwa toka 2008 walipojiuzulu?

Mtu mhalifu anatakiwa kupelekwa kwenye vyombo vya sheria ili haki ipatikane huko.
CDM ndio waliotuambia kuwa EL ni fisadi na wakadai ushahidi wanao. Imekuwaje tena waseme sasa kuwa sio fisadi??? Inawezekana kabisa EL sio fisadi ila cdm walimsingizia na kama ndio hivyo inawezekana pia hakuna ufisadi kwenye EPA, ESCROW, MEREMETA, NET GROUP NK bali ni hao hao chadema wametaka kuzusha ili serikali ionekane haifanyi kazi vyema!
Je kama CDM wanaweza kuzusha yote hayo iweje tuwaamini tuwape nchi???
Je wanataka nchi ili wafanye nini wakati wao walikuwa na ajenda ya ufisadi ambao kwa namna wanavyomtetea EL na kwa namna ''walivyomzushia'', TZ hakuna ufisadi!
 
Chadema imeshakubali kuwa ilijenga hoja za uongo dhidi ya Lowasa alipokuwa CCM. Kimsingi, kama Lowasa alikuwa anasingiziwa, CCM je? Haiwezekani, kwa mtu anayetumia kichwa kufikiria, haiwezekani kuamini kuwa Lowasa alikuwa anasingiziwa bali CCM ilikuwa haisingiziwi.... Yaani kwamba Sumaye alikuwa msafi, ila CCM ni chafu, kwamba Lowasa alikuwa msafi, CCM ni chafu. Ni uhuni.

Mkisema Lowasa ametubu alipokuja Chadema, ametubu dhambi gani? Hayo mamlaka ya kusamehe dhambi Chadema wameyatoa wapi? Mwenye akili hawezi kuendelea kulishabikia genge hili lililobadirika tu baada ya kunusa harufu ya ikulu - Sasa tumejua Chadema ni nini!
 
Ndugu yangu Karugendo ....Taifa limepigwa ganzi ....Leo kuna watu wanataka hata kumpiga mawe Dr Slaa ....huu usaliti tuliomfanyia baada ya kuweka roho yake rehani kwa muda mrefu kujenga Chama na kutetea wanyonge unasikitisha sana ..... Kwa tabia hii itazaa watu waoga kutetea taifa wakijua ni rahisi Kuwa twist Watanzania .....Leo hakuna hata anayetaka kufikiri ...

Kwahio ilitakiwa Tumlipe?

Maamuzi yalifanywa na majority katika vikao vya chama

Au nyie mmejipangaje?
 
Mie binafsi sijawahi kumsukia lowasa ajiwachafua wapinzani, wala kuwatukuna kwa namna yoyote ile, aliishi nao km vile alijua kuna siku atakuwa nao, Slaa kajishusha sana, yule hata kama angepewa inchi angekera wengi kwa kuiendesha inchi kwa maelekezo ya sijui ndie mke, hawara, au mchepuko wake , aende tu, acheni demokrasia ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom