Mkuu shukuru Mungu huyo jamaa hakuwa Rais tungekuwa pabaya sana ; ilihitajika busara sana kutuepusha na Hilo Janga; Trust me Rais tuliyenaye sasa ni mpango wa wenye busara na hao wanaopinga juhudi zake ni wahanga wa safisha safisha yake.
Hii nchi ilikua inaliwa na wachache; wenye busara wakaona imetosha sasa tusafishe uoza.
Usipomsupport Rais wa sasa unakaribisha waovu warudi.
Na wakirudi watatumaliza.