Nilifanya uamuzi wa ajabu sana kumpigia kura Lowasa.
Uchambuzi mzuri. Ila kumbuka Lowassa hana maono kabisa ya uongozi. Rejea vision yake wakati wa uchaguzi: "education, education, education". Aliiga kwa Tony Blair (Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza) hii vision; na pia hakuwa na record nzuri ya kuendeleza elimu nchini. Legacy yake ilikuwa ni shule za kata. Ambazo karibu zote ni majanga. Kimaamuzi pia Lowassa ni bomu. Rejea memo alizokuwa akiandika kuharakisha suala la Richmond wakati wa uongozi wake ambazo zilikuja kuibuliwa na kamati ya Mwakyembe.
Sema yote lakini usiniambie Lowassa ni Kiongozi mzuri aisee. In fact, ukilinganisha na Magufuli, Magufuli is better, japokuwa mimi mwenyewe simkubali Magufuli.
Mpinzani aliyekuwa serious ni Slaa pekee, ndio mtu aliyekuwa na uwezo wa kusafisha nchi kwa 100% awa kina Lowassa ni bora ata Hashm rungwe.. Magu anafanya kile mlichokililia miaka yote lazima mkubali gharama ya kila mnachoitaji. Mnataka nchi ikae sawa uku mnachekelea tu bila kuwajibika sheinz kabisa.
Mkuu hata mimi nilikuwa ukurasa mmoja na wewe. Kwani Lowassa ndo Richmond? Usidanganyike mkuu. Issue ya Richmond ilianzia humu JF, lakini ingekuwa amehusika lazima angeshitakiwa, ama hata ushahidi kuwekwa wazi. Hadi usawa huu, kashfa ya Magu kuuza nyumba za serikali ni kubwa kuliko hizo tetesi kuwa EL ni fisadi.Nilimpigia Magufuli na nitampigia tena na tena, rais aliyekomesha rushwa aina ya richmond na kirudisha heshima mtaani.
Yani hizo memo za Mwakyembe ndo zinakufanya uconclude kwamba "siyo mtu wa maamuzi magumu"? Kamati ya Mwakyembe ilitaka kumfanya scape goat au mbuzi kafara tu. Angekuwa respinsible tena na sasa ni mpinzani, msingemuacha, kama mnavyomfanyia waziri mkuu mstaafu mwingine aliyeenda upinzani(Sumaye)Uchambuzi mzuri. Ila kumbuka Lowassa hana maono kabisa ya uongozi. Rejea vision yake wakati wa uchaguzi: "education, education, education". Aliiga kwa Tony Blair (Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza) hii vision; na pia hakuwa na record nzuri ya kuendeleza elimu nchini. Legacy yake ilikuwa ni shule za kata. Ambazo karibu zote ni majanga. Kimaamuzi pia Lowassa ni bomu. Rejea memo alizokuwa akiandika kuharakisha suala la Richmond wakati wa uongozi wake ambazo zilikuja kuibuliwa na kamati ya Mwakyembe.
Sema yote lakini usiniambie Lowassa ni Kiongozi mzuri aisee. In fact, ukilinganisha na Magufuli, Magufuli is better, japokuwa mimi mwenyewe simkubali Magufuli sana.
Mkuu hata mimi nilikuwa ukurasa mmoja na wewe. Kwani Lowassa ndo Richmond? Usidanganyike mkuu. Issue ya Richmond ilianzia humu JF, lakini ingekuwa amehusika lazima angeshitakiwa, ama hata ushahidi kuwekwa wazi. Hadi usawa huu, kashfa ya Magu kuuza nyumba za serikali ni kubwa kuliko hizo tetesi kuwa EL ni fisadi.
Pia unaposema amekomesha kashfa aina ya Richmond unakosea. Nadhani kipindi hiki kuna nidhamu ya woga tu. Tena unaweza kuta kuna kashfa mbaya kuliko zote zilizopita.
Hata escrow chini ya utawala huu ingefunikwa tu kama kina Lugumi nk. Na wala isingejulikana.
Serikali ya awamu hii huwa ukitoa kashfa hata kama ni kweli inakula kwako, ndo maana whistle blowers kama Tundu Lissu wanaonekana ni maadui wa Taifa. Sasa unategemea nini hapo?
Serikali hii, cha muhimu ni rais akupende tu basi. It's not about the nation, it's about the president and his cronies.
Slaa ndo alikuja na ile listi ya mafisadi Mwembe Yanga. Kama Lowassa alikuwemo humo, muondoe halafu ndo tuanze kujadiliana kuhusu ukweli wa Slaa kuwa Lowassa ni fisadi. Slaa naye anaweza kuwa victim kama mimi tu. Kwasababu nilijiapiza sitoweza kumpigia kura fisadi. Slaa alikuwa na fikra kama hizo. Kwasababu wana Jf asili humu karibia wote tulilishwa sumu kuhusu Lowassa. Slaa tulikuwa naye humu, wote tukiamini kuwa Lowassa ndo fisadi kuu. Kumbe hata wapi bhana.Mpinzani aliyekuwa serious ni Slaa pekee, ndio mtu aliyekuwa na uwezo wa kusafisha nchi kwa 100% awa kina Lowassa ni bora ata Hashm rungwe.. Magu anafanya kile mlichokililia miaka yote lazima mkubali gharama ya kila mnachoitaji. Mnataka nchi ikae sawa uku mnachekelea tu bila kuwajibika sheinz kabisa.
Usiwe narrow minded na kuwa mtu wa kukariri. Zamani tulidhani rais ambaye ni masikini ndo atatufaa. Wrong, wengi ndo wanatumia nafasi hizo kujitajirisha wao na watu wao. Sasa hivi kuna watu wa Maghufuli ambao hawaguswi na ndo wanafaidi nchi.Hii nchi imefika hapa tulipo si kwasababu ya viongozi tu bali wananchi wengi ambao ni mazuzu kama mleta mada.
Mleta unawakilisha aina ya mazuzu wasiojua nchi ilifika wapi na ilihitaji kiongozi wa aina gani kutuchongea njia tuliyopotea.
Mtu anazunguka misikitini, makanisani vyama mbalimbali vya kijamii kote anamwaga hela,,, akiulizwa anasema eti pesa za marafiki zangu,,,hujiulizi hizo ela angezirudisha vipi!???
Pia yote kwa yote, walioasisi vita ya ufisadi na kupelekea Lowassa kujiuzulu ni CHADEMA. Labda mleta mada ungeuliza je Chadema waliudanganya na kuulaghai umma!????
Sent from my HTC Desire EYE using JamiiForums mobile app