mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Kwa nini waanzishe chama wakati CCM ipo?Wanaweza kuanzisha chama, ila hawawezi kwenda kwenye chama ambacho tayari kipo hai.
Chama tawala kitoapo kauli...angalia nyuso za viongozi wao waongeapo ndipo utajua alama 'iashiriayo'
Wasibughudhiwe, wafilisiwe kwa stail ya Kigoma Malima.
Mkuu hapa nakubaliana na wewe kabisa....hawa jamaa wanamambo mazito sana (siri) zinazoihusu ccm,so wakiamua kuimaliza basi ni ndani ya siku 7 tu na ccm inakuwa kwishneyHakuna mtu ana ubavu huo, kama nilivyosema wakiamua kisambaratisha chama wanaweza in less than 7 days. Kwanza kuna ushahidi gani wa kisheria kwamba ni Mafisadi?. CCM ijiangalie sana.
Wasibughudhiwe, wafilisiwe kwa stail ya Kigoma Malima.
Huyo jamaa hapo kwenye red inasemekana gazeti lake la mtanzania toleo la leo limehujumiwa ili lisiingie mitaani....inaelekea kunahabari ambayo ilikuwa mbaya zidi ya ccmJamani ukweli ni kwamba uhai au kifo cha CCM kipo mikononi mwa Lowassa na Rostam Azizi. Hawa wana siri nyingi sana kwani ni vema ujue ufisadi hawakufanya peke yao bali kwa ushirikiano na vigogo wengi wa chama na serikali. CCM labda haijafanya utafiti ijue uamuzi wanaotaka kuufanya unaweza kumkuta Rais wa nchi haswa pale watuhumia watakapoamua kujitetea kama mtu binafsi na si kama wanachama wa CCM.
Lazima watakapokuwa wanakata roho za kisiasa wataongea maneno ya mwisho na kupaza sauti kabla ya pumzi ya mwisho na hapo ndo JK atarudi zero katika kusafisha chama. Na huuu mchakato utakigharimu tena chama mwaka 2015. Hekima inatakiwa itawale hapa wasichukulie kuwafukuza EL, RA na Chenge itakuwa rahisi kama kurusha karatasi kwenye dustbin halafu inatulia humo mpaka ichomwe. Hawa hata wakifukuzwa lazima wapambane.
Kwa kuwatosa hawa jamaa Kikwete keshajiweka kupata support ya umma. Hawa jammaa ndo kwiisha habari yakeHao Jamaa watatu tu Wakiamua kuimaliza CCM wanaweza, wana wafuasi na wameweka mizizi ya ajabu. CCM wawaombe msamaha kwa kuwaita MAFISADI bila ushahidi wa kisheria.
Pili CCM Ihakikishe inayalinda maslahi yao na familia zao, wasisumbuliwe na mtu yoyote, vinginevyo wakiamua kuimaliza CCM WANAWEZA tena less than 7 days. NAPE hawezi ubavu wa EL, RA NA CHENGE. Bado bwa mdogo sana.
Huyo jamaa hapo kwenye red inasemekana gazeti lake la mtanzania toleo la leo limehujumiwa ili lisiingie mitaani....inaelekea kunahabari ambayo ilikuwa mbaya zidi ya ccm