zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,910
- 36,857
Kiukwel nilienda kuisoma ili nijue mtu nayebishana naye ni wa aina gani sasa nashangaa ni msomi tena wa science ila mambo unayofanya hyaakidhi kile ulichosoma yaani unadhalilisha wasomi sana..... graduand kabisa wwe unashindwa grammar ya darasa la pili afu ukishauriwa unaanza kejeli kisa tu mie mpinzani wwe ccm kwahyo hakuna zuri naweza kufanya .......... i rest my caseasante sana naona upo busy kuipekenyua pr yangu
lowasa ni ccm B,Swala sio Lowasa kuwa rais swala mi ccm kutoka madalakani tumechoshwa kuongozwa na chama butu
Kiukwel English yangu ni mbaya ila haijaifikia yako, sema tu unanichukia kwa kuhisi nipo ccm, baaaasKiukwel nilienda kuisoma ili nijue mtu nayebishana naye ni wa aina gani sasa nashangaa ni msomi tena wa science ila mambo unayofanya hyaakidhi kile ulichosoma yaani unadhalilisha wasomi sana..... graduand kabisa wwe unashindwa grammar ya darasa la pili afu ukishauriwa unaanza kejeli kisa tu mie mpinzani wwe ccm kwahyo hakuna zuri naweza kufanya .......... i rest my case
Mmmh mbona wakishinda mnafuta uchaguzi??? Shida ni wagombea au tume na mfumo mzima wa uchaguzi???Upinzani wakitaka kuchukua nchi hii wasahau lowassa sumaye mbowe .....walete kifaa kipya chenye mvuto wa kisiasa na ambacho ni clean
Zanzibar ccm iliondolewa na nani tarehe 25/10/2015Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Mkuuu ni ushauri tu nilikupa kuwa usichanganye lugha mbili muda mmoja hasa kma lugha moja huielewi vzuri kuliko inginr bora utumie unayoielewa zaidi ili ujumbe utufkie kirahisi kuliko ulazimishe lugha zingine mwisho wa siku hta usielweke kabisa unataka kusema nini..... nlikusahuri hilo tu lakini hakuna haja ya kushindana mie am confident my english is standard hilo najiamini so usitake mashindano yasiyo na tija...... ushauri sio lazima uuchukue ni either you take it or leave itKiukwel English yangu ni mbaya ila haijaifikia yako, sema tu unanichukia kwa kuhisi nipo ccm, baaaas
Shida ni mgombeaji amechokaMmmh mbona wakishinda mnafuta uchaguzi??? Shida ni wagombea au tume na mfumo mzima wa uchaguzi???
Mhhhh mbona wapoZanzibar ccm iliondolewa na nani tarehe 25/10/2015
Alipokuwa anatangaza nia Arusha alisema wanaotaka yeye atoke ccm wao ndio watangulie kutoka na ccm hakuna wa kumng'oa sasa kama leo kasahau maneno yake inaelekea hajapona ugonjwa wake wa kupoteza kumbukumbuUnaongea tu bila fact,unakumbuka wakat anaomba wadhamini arusha akiwa CCM,alisema muda Wa vyama vivyotafuta Uhuru kuendelea kukaa madarakani umepita,tukipewa ridhaa ya kuongoza nchi tufanye kazi kweli kweli maana vyama vyote karibia vinatoweka vile vya zamani
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Sawa hta awe amechoka vp nani anayeamua rais ni nyie ccm au wananchi?? Kma ni wananchi ndo huchagua kwanni mnataka kuwapangia watu nani wa kuwaongozea?? Mbona watawala hawakumtaka trump ila kwakuwa yalikuwa matakwa ya wananchi wameheshim na wamewapa walichokitaka bila ubabaishaji kma wa hapa tanzania utaskia wapinzani bado wachanga,mara atavunja muungano ssa kma mnajua ni wachanga sijui wavuruga muungano si mjipe tu urais bila ya uchaguzi ambao mkiangushwa hamtaki kukubali..... ??????Shida ni mgombeaji amechoka
Mkuu mama obama nisaidie kitu..... kama lowassa hana nguvu nieleweshe hapaLowassa anaota ndoto za muchana. Watanzania sio wajinga. Hawawezi kumpigia kura kiongozi mwenye ubinafsi kutoka kwenye uongozi wa haki na ukweli wa Rais Magufuli no chance. . Lowassa alihama CCM siyo kwa kuchukia wizi uliokuwepo kwenye uongozi uliyopita, kwani alikuwa ni mmojawapo aliyejitajirisha kwa mali ya Watanzania. Amehana CCM kwa ubinafsi wake wa kutaka kuwa Rais kwa manufaa yake binafsi na siyo kuwatumikia Watanzania. Lowassa Alikuwa na kiu CHA Urais ili aendelee kujitajirisha kwa kutumia mali za wengi. Leo Lowassa angekuwa Rais Mbowe angejinyakulia jengo la National Housing ambalo ALISEMA ana share kubwa kwa mukataba wa ujanja, lakini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, ulipiga ukuta. Mpaka Leo ni kimya bado Watanzania wanadai zaidi ya billioni 1.3 kutoka kwa Mbowe, na huyu ndiye ati kiongozi wa wapinzani, hii ni kuchezea Akita za Watanzania. Wapinzani waamuke, Watanzania siyo wajinga, wameibiwa vya kutosha.. CHADEMA na vyama vingine unless wawateme Mbowe na Lowassa, vyama vyao havitaheshimiwa, kwasababu viongozi wana record mbaya ya kutoaminiwa. Chini ya uwongozi wa Mbowe na Lowassa wapinzani hawana chance ya kuishinda CCM chini ya uongozi wa Rais Magufuli, hizo ni ndoto za MCHANA. Lowassa akachunge ngo'ombe kama alivyoahidi, na Mbowe awalipe Watanzani PESA zao ili zitumike kuwapa huduma bora Watanzania.
Hapo alikuwa na matumaini kuwa ccm labda itamfanyia haki ya kidemokrasia ila with time akagundua mamafia wa ccm wasingekubali apitishwe hapo ndio kukawa na ulazima wa kufanya maamuzi magumu..... kumbuka hta zitto alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema maana alikuwa na tumaini labda mgogoro ungeisha salama kwa upande wake.... so mara nyingi matumaini ndio hufanya mtu awaze tofauti ila akiona matumaini hayapo au akihisi yamefifishwa na wahuni wachache huna budi kuiendeleza ndoto yako nje ya chama ulichopo kma alivyofanya lowassa au zitto.Alipokuwa anatangaza nia Arusha alisema wanaotaka yeye atoke ccm wao ndio watangulie kutoka na ccm hakuna wa kumng'oa sasa kama leo kasahau maneno yake inaelekea hajapona ugonjwa wake wa kupoteza kumbukumbu
Wachanga means bado wananyonya hawajaweza kula wenyewe wanahitaji msaada.Breast feeding....Sawa hta awe amechoka vp nani anayeamua rais ni nyie ccm au wananchi?? Kma ni wananchi ndo huchagua kwanni mnataka kuwapangia watu nani wa kuwaongozea?? Mbona watawala hawakumtaka trump ila kwakuwa yalikuwa matakwa ya wananchi wameheshim na wamewapa walichokitaka bila ubabaishaji kma wa hapa tanzania utaskia wapinzani bado wachanga,mara atavunja muungano ssa kma mnajua ni wachanga sijui wavuruga muungano si mjipe tu urais bila ya uchaguzi ambao mkiangushwa hamtaki kukubali..... ??????
1.Sasa kwanni mnaweka uchaguzi ambao una kushinda au kushindwa???Wachanga means bado wananyonya hawajaweza kula wenyewe wanahitaji msaada.Breast feeding....
Nyonyeni kwa bidiii mkomae watoto.1.Sasa kwanni mnaweka uchaguzi ambao una kushinda au kushindwa???
2. Kwanini nyie muwaamulie wananchi wananchotaka.... nyie mnaodai mnaweza kula wenyewe mbona ndio mmetufkisha hapa tulipo kwenye lindi la umaskini?? Ssa mnapata wapu moral authority kusema sisi wapinzani hatujakomaa wakati nyie mmeshindwa kwa miaka 50 kuonyesha njia
Badala ya kujibu hoja unaanza kejeli.... shame on you ccm afu bado unajiita great thinker?? Ur kids should regret why they had a dad like youNyonyeni kwa bidiii mkomae watoto.
Lowasa kasema ukweli kabisa, cha msingi ni muungano wa kweli wa wapinzani na sio huu utapeli unaoitwa UKAWA !Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.