johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 91,215
- 158,566
Mwalimu Nyerere alisema CCM siyo mama yake na atahama kikikiuka misingi yake lakini Ben Mkapa alibinafsisha Mashirika na Mwalimu Nyerere hakuondoka
Sawa na Tundu Lisu aliyeandaa List of shame ya Mwembeyanga na Lowassa akiwemo orodhani lakini Mbowe alipomleta Lowassa Chadema mh Tundu Lisu alishiriki kumfanyia kampeni za Urais
Kiukweli Vyama Vyote vya Siasa vinaendeshwa na utashi wa Mwenyekiti ndio sababu Shujaa alikuja na CCM ya Magufuli
Hakunaga Misingi wala nini!
Jumaa Mubarak 😃