Lowassa Bingwa Mbio za Urais

Lowassa Bingwa Mbio za Urais

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Ha ha ha ha!! Hii picha imesababisha nicheke mpaka watu wananishangaa Lowassa.png
 
Kwa ndani naona kavaa jezi ya ACT-ya Supreme Leader...Kahamia huko ? Ebu tazama picha kwenye post no. moja ya uzi huu.
 
Vipi, Hilo ni kombe lililojaa pesa za wizi za Richmond?
 
Mimi ni anti ccm lakini katika maccm labda ni Lowassa tu ndio anaweza akatusumbua,sababu ni kwamba katika wezi na mafisadi wanaosemwa ni yeye tu anayethubutu kuwatumikia wananchi bila kujali sera za mazoea za chama chake.
 
Back
Top Bottom