Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Jamani acha kupoteza muda bure kumjibu. Angalia takwimu zake

General Information

Last Activity Today 20:22Join Date12th September 2015
huyo atakua ni kada wa ccm ame2mwa kumchafua mhexhmiwa hana lolote hawaz ku2badilixha mcmamo we2 cc cku ya kura 2taenda kumpa mhexhmiwa
 

Cha kushangaza huna kadi ya chama chochote na huelewi unachoshabikia. Huku Jf hupati mume na Lumumba ulikozoea kuendea buku saba October yatabakia majivu. Hata hivyo usijali utaalamu wako wa kukaanga vitumbua utabaki nao maana huna uwezalo zaidi ya hapo kwani hujasoma.
 

Sijui nilie sijui nicheke kwenye red?. Haya matope uliyoandika ndugu, bila shaka mwalimu wako wa msingi alijuta kukufahamu. Da!
 
Ndo propaganda mlizotumwa mueneze au sio???hv unadhan watu hatuend au hatufatlii mikutano??yan chadema hata atoke mbowe cc tunabak na mzee wetu na ushnd lazma...nenda kawaambie waliokutuma

Hata angekuwa mgombea binafsi urais ni wake. Lowassaaaaaaaaaaaa
 
Kama ndivyo basi ni wazi Moro ndo mkoa pekee ambao kupata kujitambua itachukua muda sanaaaa...
 

mkuu haka ni kajukuu ka FaizaFoxy kamerithi uchawi wa bibi yake
 
Last edited by a moderator:
sisi hatuna ulimbukeni huo

Hamna ulimbukeni au hamna vidhibitisho? Hujaeleweka we babu,
Ndio maana mnaishia kusema lowasa fisadi lakini mnashindwa kwenda mahakamani maana hamna ulimbukeni wa kwenda mahakamani?
 

Hahahaaaaa mbona kama ww ni mwana Ccm kwanza hueleweki .kajipange kwanza
 
Azomewe tu maana hana jipya tofauti na tamaa yake.
 
Azomewe tu maana hana jipya zaidi ya maradhi yanayomsumbua.
 
Mbona ataisoma namba this time, kila anapopita ni kuzomewa tu.
 

Hao ni wenye card za chama zisizo na maandishi kama jina,muhuri ,namba ya card nk: wapo wengi sana kwenu na hao ---------------nertwark era
 
inatia raha jinsi maelfu ya watanzania wanavyoupitia huu uzi, propaganda zinashindwa kazi, sasa zina back fire kwa ccm. Chama kinacho tuma vijana wake kufanya propaganda za uongo ni chama hatari kwa mstakabali wa taifa hili, kura yangu inaenda ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…