droidwallmail
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 275
- 63
LOWASA ni fisadi wala siyo kama unavyodhani.
una ushahidi? mbona hampeleki mahakamani mnabaki kulalama kama kenge kaibiwa yai? kwani hii nchi haina mahakama ya kupeleka watuhumiwa wa ufisadi? akili ya kupewa changanya na yako. ufisadi wote unamhusisha lowasa ni 'hearsay' hakuna ushahidi.