Lowassa Azidi kusonga mbele!

Jamani mimi mwenzenu ni mbumbumbu katika hili na ninaomba kuelimishwa. Hivi uchaguzi huo wa 2015 ni wa kumchagua askofu au rais. Na kama ni uchaguzi wa urais, kuna sheria iliyopitishwa kwamba wapiga kura watakuwa ni wa dhehebu moja tu? Hivi kuchangisha makanisani na kuwaacha wahitaji wakubwa wa misaada kama wale waathirika wa mafuriko kutatoa mafanikio gani ya kisiasa. Kama ni utakaso wa fedha haramu basi utakaso bila toba ni bure! Haya msioitakia mema nchi yetu endeleeni kushangilia lakini kwa wenye akili zao wanajua kwamba this is a wasted effort!


kaka hii nimeipenda ni mchango bora kwa mwaka 2012
 
wewe labda ndio unamsongesha mbele,umeona anavyomtesa mpiga kura mwenzetu za urais 2015 dk harrison mwakyembe?

Aic! This is a serious accusation kwa kweli tuna haki ya kutoa maoni lakini tuheshimu na mipaka vile vile naamini uko timamu na uwezo wa kufikiri au kufanya uchunguzi kabla ya kupost hili uko vidoleni mwako' mi nadhani doctrine ibaki pale pale kwamba "he who allege must prove" jukumu libaki kwa Mwakyembe kuthibitisha ama kukanusha juu ya huyo/hao waliompa hiyo sumu na si mtu tu utumie utashi wake kukurupuka na kuanza kutumu watu! Jitahidi kuwa ndani ya hoja mmmh I hope hiyo post yako Moderators hawakuiona manake haistahili kusomwa kabisa..........
 
Jamani mimi mwenzenu ni mbumbumbu katika hili na ninaomba kuelimishwa. Hivi uchaguzi huo wa 2015 ni wa kumchagua askofu au rais. Na kama ni uchaguzi wa urais, kuna sheria iliyopitishwa kwamba wapiga kura watakuwa ni wa dhehebu moja tu? Hivi kuchangisha makanisani na kuwaacha wahitaji wakubwa wa misaada kama wale waathirika wa mafuriko kutatoa mafanikio gani ya kisiasa. Kama ni utakaso wa fedha haramu basi utakaso bila toba ni bure! Haya msioitakia mema nchi yetu sasa endeleeni kushangilia lakini kwa wenye akili zao wanajua kwamba this is a wasted effort!
sasa unatokwa na mapovu yote haya ya nini?!!:A S embarassed:
 
Mimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.

hutoa misaada mpaka miskitini pia!
 
hata wewe una roho ngumu jana ulilala fofofo kutwa nzima wenzako tulijadili mada hii hapa JF kwa kirefu ghafla unaibuka leo na habari za jana.

Upo fasta ktl kujadili mambo kama kile cha kwanza!
 
Nyumba za ibada nazo zinatisha! Wanajua kabisa jamaa anatumia fedha chafu, lakini wanazitaka tu!

Anachofanya Lowassa ni kuwapa wachangiaji hizo fedha ili wachangie, yeye aonekane amefanikisha harambeee. Jamaa kajiandaa vya kutosha, nadhani ameshaweka nchi rehani hapo...akipata atalipa
Hivi tokea ajiuzulu uPM amechangia makanisa kiasi gani hadi sasa? Kati ya hizo marafiki zake wanaomsaidia michango ni akina nani. Mwisho wa siku atatueleza fedha hizo alizipata wapi na kama zililipiwa kodi au la.
 
Msiyasahau yale mamilioni aliyoyatoa pale uwanja wa taifa wakati wa TV IMAAN fundraising.
 
  • A%20S%20465.gif

 
Sasa unatokwa na haja ----- ya nini?:A S embarassed:

Mkubwa, I am sure you are better than this. Usimfanye Mungu akajutia kukupa akili timamu lakini ukashindwa kuzitumia ipasavyo. Una uchaguzi wa kuchangia hoja lakini kwa ukamilifu na ustaarabu, au kukaa kimya, badala ya ku-demonstrate kwamba wewe ni mtu pori usiye na maadili. Kumbuka a quiet fool is considered wise. usisukumwe na ushabiki au kujaza thread bila sababu.
 
Mimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.
Baada ya kutoka kanisani alikutana na wajasiriamali wa soko la kambarage kulikuwa na nyomi kimtindo
 
LOWAsa hata ajenge kkkt kila kata tz,hawezi kusafishika.fisadi mkubwa,kama kweli raisi hakumsikiliza kuvunja mkataba wa richmondi mbona hakujiuzuru kabla ya tume ya mh harson?na mbona kulikuwa na memo nyingi za kutoa maekezo na kushinikiza ktk ripoti ya tume,labda kkkT wanamwandaa kuwa askofu wao.
 
tena mbona lowasa yuko bize na makanisa haoni miskiti?au mashehe hawataki fedha za ufisadi??
 
Baada ya kutoka kanisani alikutana na wajasiriamali wa soko la kambarage kulikuwa na nyomi kimtindo

kwani kuna ubaya gani mtu kuendesha harambee ya kuchangisha kanisani ????
mwenye kujua ukweli ni Mungu na siyo wanadamu swala la kuchangisha kanisani
lina mawasiliano gani na uchaguzi wa 2015 kwanza hao waumini ni mkutano
mkuu wa CCM Mambo mengine hayana mshiko kujadili na kwa mtu mwenye akili
ni kusumbua akili yako kufikiri huo ujinga na ni wivu wa kike ,
 
Back
Top Bottom