Lowassa awasafisha Chenge na Karamagi; asahau miaka ya uhuru

Lowassa awasafisha Chenge na Karamagi; asahau miaka ya uhuru

Kwa hii clip, Nazidi kumwogopa LOWASA Kama ukoma.Na Hana hata kumbukumbu kabisa hata ya Miaka ya uhuru wetu.
Pia sababu yeye alipata utajiri kwa ufisadi ndiyo maana anatetea Matajiri tena Kama karamagi ambaye iko wazi kwenye richmond.

Serikali yake itakuwa ya wapiga deal watajiri wenzake na kukwepa kodi, Halafu walipa kodi wasiyo kwenye circle yake WATAKOMA maana ndiyo wataandamwa kuonyesha Kama vile anasimamia kodi.

This guy will make Tanzania poorest of the poorest countries in the world.
 
Lowassa atafanya mapinduzi ya mafisadi kushika hatamu baada ya enzi za CCM kushika hatamu kupita.
 
Mkuu wewe umemuelewa vizuri sana,atatuondoa kwenye umasikini kwa style ya kina karamagi .mheshimiwa amedhamilia kutekeleza sera za ccm kwa vitendo kweli kweli yaani kuwafanya watanzania wote Kuwa wezi ili asiwepo mtu wa kumnyoshea kidole Mwingine kama ilivyo ccm Ya leo

Wizi gani karamagi amefanya?
Fitina za mwakyembe tu na walimtuma
Ruchmond mitambo ilikuja tena bora zaidi na ndio inayo tupa umeme sasa hivi.
Kuchelewa kufika mitambo hio ni logistics issues katika tenda na sio rushwa .ni ujinga tu Lowassa alikua na nia ya kuindoa tatizo la mgao kwa haraka lkn wapotoshaji kama kawaida na kamaragi alichukiwa kwa utajiri wake uchoyo na wivu kitu kibaya...hata Mkapa alisisitiza sana muache hio tabia ya wivu
 
Ujumbe wake umeulewa? Lowassa anauchukia sana Umasikini na haoni fahari kujiita mtoto wa masikini kama akina Nchemba, Pinda, Membe, wassira .... amesema kuwa yeye anagombea urais ili kuwaondolea Umasikini si kuwaletea Umasikini kama hao mnaowafagilia ... umeelewa? Utajiri si wa wazungu pekee, na sikweli kuwa Waafrika hawawezi kuwa Matajiri.
Hebu tuambie atawaleteaje watz utajiri? Kwa kuwaonga watu km wewe kuwa mavuvuzela wake kwenye mitandao? Ameupataje utajili wake? Tuna lipi la kujifunza kwake?
Rudisha utu wako, Pesa si kila kitu duniani.
 
Wizi gani karamagi amefanya?
Fitina za mwakyembe tu na walimtuma
Ruchmond mitambo ilikuja tena bora zaidi na ndio inayo tupa umeme sasa hivi.
Kuchelewa kufika mitambo hio ni logistics issues katika tenda na sio rushwa .ni ujinga tu Lowassa alikua na nia ya kuindoa tatizo la mgao kwa haraka lkn wapotoshaji kama kawaida na kamaragi alichukiwa kwa utajiri wake uchoyo na wivu kitu kibaya...hata Mkapa alisisitiza sana muache hio tabia ya wivu

Tuambie tuna lipi la kujifunza kutoka kwa Karamagi?

Rudisha utu wako. Usikubali kutumika.
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Huyuhuyu Karamagi na Ibrahim Msabaha walifanya fitna Kanali Joseph Simbakalia aondolewe NDC kwa maslahi yao. Hakuna mtu hapo.
 
Matajiri wa ukweli ni wafanyabiashara nà biashara zao zinajulikana. Hawa wanaosema umaskini sĩ sifa tunakubali 100%. Lakini tuwaulize hizo biashara zinaziwatajirisha ziko wapi? Kwa nini hazijulimani?

Hivi ni nchi gani katika uso wa dunia hii ambapo utumishi wa umma ndo chanzo cha kuzalisha matajiri? Hawa siyo kina mobutu hawa? Hivi mnaona Congo Alivyoiacha Mobutu?

Huyu naye alikuwa hapendi umaskini lakini kutumia utumishi wa umma kujitajirisha ni laana. Isipokupiga leo itawapiga wajukuu wako...
 
Kama mzazi wako alikuwa anawekeza kwenye mademu lazima ulalamike na uhisi watu wote wenye fedha ni wezi... Lowassa si mzinzi kama walivyo wagombea wengine! Ameweza kuwekeza kwa nunua hisa Vodacom, amewekeza kwenye mjengo aliyowakodishia Ubalozi wa South Afrika!!! Babako amewekeza kwenye nini? Au mitungi tu? ... Miaka miwili ya uongozi wake aliweza kusimamia ujenzi wa shule za kata, UDOM, KASHWASA, kulikuwa na nidhamu kwenye halmashauri zetu, goigoi alikuwa anawatimua live ... Pinda et al wameifanyia nini nchi hii zaidi ya kugawana fedha za ESCROW? ... Usidhani Watanzania wote wana price Tag Mgongoni kama ZZK ... Jaribu hata kuwasha ITV muda huu pengine utajua kuwa Lowassa ni nani katika nchi hii ...

Back
Top Bottom