RockSpider
Hiyo ni gear tu ya kudanganya Wadanganyika. Anayeondoka alisema maisha bora kwa kila Mdanganyika. Na yeye alikuwa sehemu ya walioahidi hayo maisha bora. Tutadanganywa hadi lini??? Najua kitakachotokea huyu bwana akiingia madarakani siku atakayoondoka pengo kati ya masikini na matajiri litakuwa kubwa zaidi kwasababu lazima matajiri anaowaegemea leo wavune zaidi na walalahoi waumie zaid.

Last edited by a moderator: