Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

Ndugu zangu, Mh Lowasa aachane na siasa mwambie asije akajikuta anakufa kwa presha. Serikali haitompa ruhusa luwa Rais huu ndio ukwel. Watamdhohofisha kwakweli niliwah sema nauona mwisho wa Lowasa

Endelea kuota hizo ndoto za asubuhi.
 
Wanzania na wana ccm tuache unafiki wa mawazo lowasa kama ana kosa mbona alituachia nafsi lakin hakuna aliyemfikisha mahakamani,tumpe haki yake kama hatukutambua kosa lake.
 
Kwa jinsi watz walielimika sasa wataamua kwa wakati na maamuzi sahihi. Tuwaachie wao, so long mgombea binafsi yupo, vyama vingi vipo, watachagua anayewafaa.
 
itakuwaje rais ana mradi mkubwa ...mawaziri wabunge nao pia wote ni wafanyabiashara...wana magazeti...madiwani ndio hivo nao wana makampuni yanafanya biashara na halimashauri....
police wanamabasi ya abiria na makampuni binafsi ya ulinzi
kuna utawala hapo?...nani amsimamiie nani au amuongoze nani?

haya utayapata kwenye hansard za bunge letu si maoni yangu
 
Usituletee hekaya za nyerere hapa edo ndio mpango mzima hao walokutuma umchafue waambie umedunda

Hakuna anayemchafua Lowassa ila yeye ndiye mchafu!! I know him inside out. Hakuna tofauti ya Lowassa na Biwoti wa Kenya. Huwezi kuwa kiongozi unaotakiwa kutetea maslahi ya umma halafu kila kilicho na interest binafsi wewe upo na hapa ipo mifano mingi sana ya kukupa. Hapa Tanzania kuna watu wengi waadilifu, wenye upeo na uzalendo kuliko Lowassa ambao CCM inaweza kuwachagua.
 
Dah Nape namwonea huruma el kama atakua rais cjui atakimbilia wp
 
Ndugu zangu, Mh Lowasa aachane na siasa mwambie asije akajikuta anakufa kwa presha. Serikali haitompa ruhusa luwa Rais huu ndio ukwel. Watamdhohofisha kwakweli niliwah sema nauona mwisho wa Lowasa
mkuu na mwaka umeanza , utabiri kibao, kigogo atakufa kwa ghafla by sheikh yahaya junior hatujui ni yupi, sasa naona muendelezo wake kama kuna dalili, lakini vile vile , mchungaji T.B joshua alimtabiria atakuwa kiongozi wa nchi yako eti naona mungu ameniambia , swali lilofuata inawezekanaje kwa lowasa aliyekwisha chafuka na dowans richmond, jibu, amekiri mbele ya mungu na mungu kamsamehe na kumbariki, sasa kwa hili la mungu hakuna kitu kinachoshindikana kwa mungu . kweli lowasa naona kama amemrudia mungu , kiasi cha mali yake kubwa anaitoa kwa jamii nafikiri anajutia na haoni future yake zaidi ya kuwatumikia wananchi katika roho na kweli , binadamu anaweza akawa hivi ila kwa mungu akawa vile
 

Tumepoteza matumaini na watu tuliojua wanatujali, kumbe wanatuzuga tu. Unajua hizi hizi fedha za mafisadi zinaliwa na waliotuaminisha kwamba watatutoa kwenye umaskini?

Zinasaidia kampeni za vyama hivi tulivyoviamini, halafu utetezi unakuwa ni eti fedha itoke CCM au kwa Kikwete sio tatizo ili mradi tu ilitumika vizuri, independence iko wapi?
 
Kuna jamaa ametabiri, ikifika mwishoni mwa 2015 kuna kiongozi atakuwa kichaa - yetu macho na subira, ngoja tusubiri tuone
 
Kama kweli EL atakuwa rais wa Tanganyika nitaamini kuwa WaTz tumelogwa na hakuna mganga wa kutuagua. Jamani hata kama kusoma hatujui hata picha nazo hatuzioni!

Kautafiti nilikokafanya japo mimi sio prof asilimia kubwa ya watu wanaokwenda kushabikia mbio za mwenge na kukesha nao huwa ni vigumu sana kumtoa ccm na wazito kuelewa sijui wamelogwa.
 

Wadanganyika kweli ni mapimbi kwani leo wanalalamika bei ya umeme kupanda lakini hawatambui kuwa ni rushwa za aina ya RICHMOND ndio zimeongeza gharama ya uzalishaji wa umeme hivyo bei yake kupanda kiasi cha kuongeza mfumuko wa bei nchini!! Lowassa ndio chanzo cha matatizo tunayopata katika uchumi wetu.
 
Wakijaribu kumgusa Lowassa ccm itafutika kwenye historia ya vyama vya siasa

Sio kosa kwa EL kukagua miradi ya maendeleo ni kiongozi, na jimbo lake! Lakini hili suala la kusema wakijaribu kumgusa chama kitakufa siyo sahihi, chama ni mali ya wanachama kwasas angekuwepo Nyerere sawa maana yeye alikuwa na nguvu na uwezo wa kumkeme yeyote anayeenda kunyume na matakwa ya chama. Hilo ndo tunalowaharibu hata viajana wa sasa utasikia eti Zito kwanza chama baadaye inamaana mtu 1 ni bora kuliko chama?
 
Hebu tuambie msafi ambae wewe mwenezi unamuona anafaa kuwa rais wetu 2015 zaidi ya EL...!!! CCM kuna msafi? labda kama kazaliwa jana...

 

Nitajie REALISTICALLY watu wa 3 mbadala watakaouweza uraisi kuliko Lowasa. Kabla ya kuyaandika hayo majina naomba utafakari kwa kina responsibilities na the necesarry personalities za raisi! Slaa usimtaje. Debate itakua ndefu, namkubali ila supporting structure yake ina walakini sana.
 
ni vizuri rangi yako halisi imeanza kuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…