Lowassa awapasha akina Nape na Mangula...

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
Jan 8th 2014

Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Brother Edward Lowassa, ametembelea miradi ya maji katika kata ya Selela iliyopo Jimbo lake la Mondul na kuongea na wapiga kura wake na kuwapiga vijembe viongozi wa chama chake waliomwambia watamchukulia hatua kali kwa sababu ya kutangaza nia ya kugombea kiti cha urais mwanzoni mwa mwezi hata kwa chama JIWE atakuwa rais 2015.

Brother Lowasa aliwakumbusha akina Nape na Mangula kwamba yeye Uwezo a
nao, nia anayo, wananchi wananipenda wakanitangazia siyo mimi nimetangaza na kuhusu harambee nimechangia kama wenzangu wanavyochangia, au nikiitwa kwenye harambee nisishiriki mpaka uchaguzi wa rais 2015 upite? Hiyo ni adhabu. Tuwe wangalifu na kuchambua maneno, Tusiwe wepesi kulaumu na kuhukumu na pia kuwa kiongozi siyo kutisha na kuogopesha wanachama, wote tuna haki sawa katika chama chetu.

Ni hivi majuzi viongozi wa juu wa CCM walimuonya Lowasa na wananchama wengine wa chama hicho kuacha kujitangazia kuwania urais kupitia CCM kwa vile muda wake rasimi bado na pia kutoa michango ya harambee mbali mbali, na kwa kufanya hivyo ni kuvunja kanuni, sheria za mwongozo wa chama na adhabu yake ni ku-jiqualify automatically wenyewe kwenye kuwania urais. Hata kinana mmoja ndugu sebastiani Kiondo wa Sanawari Arusha alisema vyama siasa nchini vyote lao moja kupigania maslahi yao badala ya wananchi,...ebu niambe ndugu mwandishi Brother Lowasa anakosa gani kama siyo fitina za viongozi wakuu wa CCM?, ukiona hivyo wana mgomea wao tayari na tayari ameshajaza fomu ya kugombea kinachosubiliwa ni siku ya kumtangaza, alimaliza ndugu kiondo kwa masikitiko. —

in Magu Kahangara.

Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?
 
Huyu mzee ananifurahisha sana..ana urguments za msingi sana...watu wanapolalamika richmond mara dowans...mi nakuwa sielewi kwa kuwa ndo mitambo hiyo hiyo kaja obama kuizindua..au wao USA hawajui!!!watz amkeni tunaonekana mapimbi sana kwa ajili ya mambo haya
 
We hujui alichozindua obama bora utafute wakuuliza!
 
Nimependa hiyo kuwa wana mgombea wao na ameshajaza form anasubiri siku ya kurudisha. ..
 
Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?

Akikufikia na mamilioni yake na wewe utakuwa kimyaaa
 
Ni haki yake kujadiliwa,unataka tuamini Lowasa ni fisadi pekee ccm?fikiria kabla ya kumjadili mtu.
 
Huyu mzee ananifurahisha sana..ana urguments za msingi sana...watu wanapolalamika richmond mara dowans...mi nakuwa sielewi kwa kuwa ndo mitambo hiyo hiyo kaja obama kuizindua..au wao USA hawajui!!!watz amkeni tunaonekana mapimbi sana kwa ajili ya mambo haya

Hapo hata mimi nashindwaga kuelewa kwani mitambo tulioikataa ndio hyo leo serikali inaitumia.
 
Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?

Usituletee hekaya za nyerere hapa edo ndio mpango mzima hao walokutuma umchafue waambie umedunda
 
Shida ya watu wa nchi hii ni umbumbumbu..mitambo ile ile ya richmond ndo hiyo hiyo ikawa dowans ba hiyo hiyo ndo power africa sijui...sasa obama alizindua mitambo iliyonunuliwa kwa ufisadi ama?

Wanabadili majina tu ya wamiliki lkn mitambo ni ile ile ya Ubungo!

Sisi watz nahisi tumelaaniwa na Mungu;umeme bei juu 78%;matibabu hamna;watoto wote wana feli;maji saafi hamna lkn hapa tunakesha kujadili Zitto na Lowassa na hawala wa Mbowe na sometimes uhusiano wa Dr Slaa
 
Ndugu zangu, Mh Lowasa aachane na siasa mwambie asije akajikuta anakufa kwa presha. Serikali haitompa ruhusa luwa Rais huu ndio ukwel. Watamdhohofisha kwakweli niliwah sema nauona mwisho wa Lowasa

naona umeshapiga gongo asubuhi subuh,kabla hapaja pambazuka!!!kwnn haya uliyoyaandka ulipaswa umshaur babu hujaona babu udenda una mdondka kadri xiku zinavyozid kwenda?
 
Hajatangaza nia ya kugombea urais. Acheni kuchambua mambo kwa hisia kuliko uhalisia!
 
Back
Top Bottom