NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
UKAWA mnajitia aibu mnavyoendelea kulia lia banah!Lowassa ndio mwisho wake mwaka huu kisiasa hasa za uraisi maana umri utakuwa umemtupa mkono ifikapo 2020!
Poleni jamani mtazoea tu hii hali
lowassa bmpaka sasa ana miaka 62, na samweli sitta ana miaka 70, prof. mwandosya ana miaka 67 na bado amegombea Uraisi. Wewe Vip?
Tutawaonyesha kwa vitendo kama hakutaku
Bado nina imani na LOWASSA hii ngoma bado mbichi kabisa mbona!!!
Haaa? uwiiiiiiiTrust me Lowassa ndio Rais wa hii Nchi,Wananchi wameamua, hakuna mfumo unaotoka kirahisi, nimesoma gazeti la mwananchi linasema Lowasa asema safari ya kuelekea ikuli ndo imeanza.
Yeah.... Safari ndo imeanza wakuu, hiyo ndio kauli ya shujaa wetu Edward Lowassa
Chanzo: Mwananchi
Nawashauri mchonge sanamu yake au mjenge hekalu maalum la kumwabudu mungu wenu Lowassa. Watanzania wamefanya uamuzi na wamemchagua Magufuli awe mtumishi wao. Wengine eendeleeni kuota au kama nilvyoshauri endeleeni kumwabudu huyu mungu wenu wa uongo
Wamundemu utakuwa kigogo wa ccm au mmoja wa family yao, otherwise utakuwa umeoza ubongo. Mkuu na shida zote hizi.......hata huoni?Hiyo safari ameibatiza jina gani mana ya matumaini ndo imeshafika mwisho. Na je mbona mlisema laxima ccm ing'oke madarakani mwaka huu la sivyo haitatoka hadi miaka hamsini ijayo hilo nalo vipi au mmesahau. Kweli mmeisoma namba
Tutalipiza kupitia Zanzibar.Maalim akiwa raisi anaitishsa kura ya maoni kuamua kama wazanzibar wanataka muungano au hawautaki.Baada ya hapo Magufuli atakuwa hana kazi-tafakari utaelewa.
Si walisema kina mbowe wako Uholanzi ICJ??
Kujitoa muungano sio suala la unalala leo kesho unaamka na kusema, TUMEJITOA MUUNGANO. Ni ishu taiti sana!Mimi sipati picha. Bunge litakuwepo kabla ya uchaguzi mpya wa Zenji? Waziri mkuu je? Maalimu akiwa Rais wakajitoa muungano uchaguzi unaitishwa upya? Na huyo Lubuva alivyosema kufutwa kwa uchaguzi zanzibar hakuna athari kwa bara hakuona hili? Yaani ni mchanganyiko maalum.
You are a genious mkuu, sasa ubayaubaya tu, hatuwezi kufurahia na watu wanaofurahia ushindi na familia zao sasa hivi , we jiulize , nchi yote imenywea kwa hofu na kukata tamaa, hakuna anaefurahi pamoja nao ila familia zao tu, huo ni ushindi wa kifamilia tu, lakini ingekuwa ni peoples basi mitaa yote watu ambao ndio peoples wangesherehekea wiki yote ya kutangazwa hayo matokeo!