Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

Nan asiye mwizi ndan ya ccm?


Tena wakumbushe hata CHADEMA, Dr. Slaa kaiba mke wa mtu... pia katelekeza mke na watoto wake... So nani pia asiye mwizi...!? Pia Mbowe amezaa na Mbunge CDM wa viti maalum wa Arusha, Joyce Nkya, huku ana ndoa yake, huu ni uwizi, nani asiye mwiziiiiiiii...!? Heri Lowassa sbb hakuna legal justification sehemu yoyote kafanya uwizi...!!! Wakati hawa wengine ushahidi ni wazi dhahiri...!!! eg Mbowe, Dr. Slaa
 
Kwani hao wadhamini ndiyo tiketi ya kugombea urais akili ya Lowasa pamoja na washauri wake zero halafu hizo fomu za Lowasa zipo iringa tangu wiki liyopita zinatembezwa kwa kugawa pesa.

Kwani kura inapigwa na upepo...!? Hujui maana ya udhamini tu...!?
 

na hakika akiingia tunamtoa hata kama tutaingia msituni. Kaeni mkijua hilo
 
sawa ila kuna katiba inasema wanawake waachiwe kwenye uspika


No, umekariri, huhaelewa bado... halipo hivyo pia, SPEAKER hapatikani hivyo... cheki katiba ya JMT 1977...!!
 
Kifaranga cha kuku na mwewe wapi na wapi...!?
Subiri sasa, ndipo utajua nani kifaranga na yupi yupi ni kuku. Ingawa najua haingii, 100% sure. Tunataka punguza mafisadi hadi kuwamaliza sio kuwaongeza.
 
Propaganda...be reasonable...!!! u don't hv REASONS...be intelligent...!!!

Propaganda mpaka kajizulu kaka.

Vipi si wanahitajika 30 kila mkoa hao waliozidi ni wa nnn au anataka kuaminisha jamii kuwa kawanunua wachungaji wamemsafisha.

Mbona hakuna kiongozi anayetoa idadi kuwa wamejitokeza wengi kumdhamini yani hajiamini ujue ndo mana anajihami ili aonekane msafi na anapendwa kumbe anawakodi bodaboda.
Na mabasi yamekodiwa mbeya kusomba raia wajae kwa mkutano wake.

Ww umekula pilau mpaka unatetea fisadi aliyejizulu kwa kashfa au alisingiziwa.

Kawaida ukiwa haujiamini lazima utaongea ili uonekane kama unaaminika kama unapendwa una hela au una akili ni kawaida ila kama unapendwa au una akili hakuna haja ya kujitangaza raia wenyewe watakutangaza bana
 
Subiri sasa, ndipo utajua nani kifaranga na yupi yupi ni kuku. Ingawa najua haingii, 100% sure. Tunataka punguza mafisadi hadi kuwamaliza sio kuwaongeza.


Hahaaa....very sorry, ur in a wrong part of the world...!!! This is Africa...!!! Siasa za kiafrika anything goes...ushirikina, rafu za kila aina, mitama na mieleka, ngeu, vichwa, ufuska, wizi, albino killings, corruption and finally the WINNER come on top... and will be announced legally and officially...!!!

Hahaaaa, usilalamike kuonewa, lalamikia unyonge wako...!!!
 

Watanzania wengi inatakiwa wapimwe ajili,tangu lini kiongozi mkubwa kama waziri mkuu akapelekwa mahakamani au kwenye vyombo vya sheria kwa makosa yake akiwa kiongozi? Unadiriki kuwaaminisha watu ujinga wako? Punguza njaa, simamia ukweli!
 
Mmeshaambiwa wanatakiwa wadhaminj 450 tu hao wengine karatasi kafungie vitumbua.

Hamuoni aibu kutetea Mwizi au nyie ndo wezi zaidi maana mnamuibia.

mkuu unajua ni nin,hizo idadi wanaandikisha njian na wanaofika eneo la tukio haijalishi ni wa upinzani,ana kad ya chama au hana!.,,ni maigizo tu,wajidanganye wamteule ili ukawa imnyonyoe km kuku wa krismass!..,watu wanafika kumshangaa mtu wanaemckia kwenye magazeti tu!.this iz tanzania wakumbuke
 


Hizo 30 kila mkoa, is the MINIMUM NUMBER kwa mikoa 15..umesoma maths ww...!!!? meaning upate 30 and above, hadi tani yako kwa mikoa 15... so don't be carried away with loosers words...!!! yaani minimum upate wadhamini 450 and above...!!! So hata ukipata 45 million tht is ur juhudi and likability...!!!
 
Mmeshaambiwa wanatakiwa wadhaminj 450 tu hao wengine karatasi kafungie vitumbua.

Hamuoni aibu kutetea Mwizi au nyie ndo wezi zaidi maana mnamuibia.

Maneno yako machache lkn yamebeba ujumbe mkubwa
 

Anachofanya Lowassa ni kujitisha mwenyewe na chama chake,anajitahidi kujisafisha kwa kila namna lkn ajue urais hapati rais anatoka UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…