KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,484
- 2,283
Huwezi kupata jibu.tathmini yenyewe ni very simple and poor.ila washabiki na wazungusha mikono wa ukawa ambao wako rundo humu ndani watakutukana bure brother. Magu ni zawadi ya watanzania toka kwa mungu..hiyo kasi,ari na hamasa ya EL siioni mitaani zaidi ya humu ndani..Naomba ufafanuzi, ni waziri mkuu MSTAAFU au waziri mkuu aliyejiuzulu?? Samahani kwa swali langu