Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Nikadhani ni sai... Matope [emoji13] [emoji13] [emoji13]............
Arusha leo akitokea mkoani
Kagera ambapo alizuiliwa kufanya
mikutano ya ndani na Jeshi la
Polisi la polisi,anaandika
Charles William.............
japo sijui kwa undani zuio hilo lakini tujiulize haya :
1.mh lowassa anafanya mikutano kama Nani?maana yeye ni mwanachama Wa chadema na mjumbe Wa kamati kuu .sasa je kila mjumbe Wa kamati kuu aendeshe mikutano ya kichama kweli?hivi Leo wajumbe wote Wa kamati kuu ya vyama wakiendesha mikutano ya kichama itakuwaje?
2.nini Kazi ya mjumbe Wa kamati kuu??je sikupitisha au kukataa maamuzi ya chama??sasa wapi na wapi mikutano ya ndani au nje?