Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

Mie sijui Tanzania tuna matatizo gani kweli!!

Tusitumie janga la tetemeko ktk mambo ya kisiasa.

Tutofautishe kati ya kuwajulia hali zao wahanga na kufanya mikutano ya siasa kwa wafuasi wa vyama.

Tumeenda,tumewaona,tumewapa msaada,tumewafariji,tumepewa taarifa ya mkoa kuhusu tetemeko,tumepumzika,senene tumekula jamani bado tu.

Uungwana kwa kwenda tu ni muhimu sana kwani thawabu ni kwa Muumba.
Kenyatta ashukuriwe sana
 
Mkuu Mjua, ume quote page tatu halafu unasema cha kitoto hivi!!!? CCM mna shiiida !!!?
 
MLAU kina Bulembo walifanya nini. Halafu mbona mkutano ulikuwa hahusiani na masuala ya wahanga!?
 
Mie sijui Tanzania tuna matatizo gani kweli!!

Tusitumie janga la tetemeko ktk mambo ya kisiasa.

Tutofautishe kati ya kuwajulia hali zao wahanga na kufanya mikutano ya siasa kwa wafuasi wa vyama.

Tumeenda,tumewaona,tumewapa msaada,tumewafariji,tumepewa taarifa ya mkoa kuhusu tetemeko,tumepumzika,senene tumekula jamani bado tu.

Uungwana kwa kwenda tu ni muhimu sana kwani thawabu ni kwa Muumba.
Kwa hiyo akienda kutoa msaada haruhusiwi kukutana na wanachama wenzake wazungumze? Haya yote yana mwisho.
 
Ina maana hivi sasa huyu jamaa ndio icon ya CDM!?...huyu jamaa ni roli modo,si kwa mahaba haya!
 
Tulicho shuhudia ni kupokea misaada ya kibinadamu kutoka kwa serikali ya watu wa kenya chini ya rais Uhuru Kenyata
Serikali iliyoingia kwa mbwembwe na laghai ikiahidi kuwathamini maskini badala yake misaada iliyotolewa na wapinzani kwa wahanga ikiwemo mahema na vyakula wakaenda kunyang'anywa tena kwa nguvu ya dola
 
Mkuu bila kampeini hapo ndio ccm itakuwa imejizika rasmi
Mkuu kwa nijuavyo mimi, kama watazuia kampeni, basi hilo zuio litakuwa ni kwa vyama vya upinzani tu, wao wataendelea na kampeni kama kawaida. Si unakumbuka kuna kada wao mmoja aliwahi toa maoni kwamba nafasi ya Urais igombewe na CCM tu, na vyama vingine vya siasa vigombee nafasi za ubunge na nyinginezo.
 
Serikali iliyoingia kwa mbwembwe na laghai ikiahidi kuwathamini maskini badala yake misaada iliyotolewa na wapinzani kwa wahanga ikiwemo mahema na vyakula wakaenda kunyang'anywa tena kwa nguvu ya dola
Mkuu ninavyo wajua wahaya ccm wasije kumtafuta mchawi wahaya wanajua kulipa kisasi we wacha tu
 
Mkuu kwa nijuavyo mimi, kama watazuia kampeni, basi hilo zuio litakuwa ni kwa vyama vya upinzani tu, wao wataendelea na kampeni kama kawaida. Si unakumbuka kuna kada wao mmoja aliwahi toa maoni kwamba nafasi ya Urais igombewe na CCM tu, na vyama vingine vya siasa vigombee nafasi za ubunge na nyinginezo.
Nakumbuka vizuri lkn na mtanzania wa leo siyo wa kumfanya kama hana akili wajue kuwa tupo macho
 
H
Kwani bukoba hakuna cdm?isitoshe bukoba ipo chini ya ubunge wa cdm sasa kulikuwa na kosa gani?
Hakuna kosa lakini tusifanye siasa ktk misiba na wahanga si tumewaona lakini.sasa tena mikutano ya siasa ktk kipindi hiki kigumu inatoka wapi na wahanga wanataka Chakula,maji,pa kulala,matibabu,counselling n.k
 
Kwa hiyo akienda kutoa msaada haruhusiwi kukutana na wanachama wenzake wazungumze? Haya yote yana mwisho.
Msiba huo hauna chama ni wetu sote ndo maana unaona hakuna vikao vya chama wala ukanda ni issue ya kitaifa.
 
H

Hakuna kosa lakini tusifanye siasa ktk misiba na wahanga si tumewaona lakini.sasa tena mikutano ya siasa ktk kipindi hiki kigumu inatoka wapi na wahanga wanataka Chakula,maji,pa kulala,matibabu,counselling n.k
Wakati huo huo ccm walikuwa na mkutano wao lumumba ina maana hawakujua kama kuna maafa?wacheni kujitoa ufahamu kisa itikadi na wahaya wanawasubiri wawaadabishe kwenye uchaguzi ujao.
 
.........kuutoa uongozi.....wa ccm madarakani ni ndoto ya mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee................
Hata utawala wa idi Amini alikuwa anaamini kuwa ataitawala uganda milele lkn mwisho wa siku aliikimbia uganda akiwa amevaa khanga
 
........ndugu...............achana na xtory ya iddi huko uganda.... na focus...hapa kwenu....nakushauri...............
 
Hata utawala wa idi Amini alikuwa anaamini kuwa ataitawala uganda milele lkn mwisho wa siku aliikimbia uganda akiwa amevaa khanga
...........ndugu achana na huko uganda na pia focus hapa tz....nyumbani kwenu.....sure i tell you
 
Back
Top Bottom