Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

Tofauti ya Lowassa na magufuli ni vitu kama hivi, utu jamani.
 
Ameeen! Rest In Eternal Peace Celine Ompashi Kombani
 
Sijui na kwenye msiba huu napo watamdhibi/mzuia Rais wetu mtarajiwa EL asihudhurie mazishi !
Tusubiri tuone .
usishangae wakasema kuna mlipuko wa kipindupindu kwaiyo haitakiwi misongamano.mungu ampumuzishe kwa amani.
 
Naomba Mazishi ya Kombani Watu wote wa vyama vyote washiriki.Lkn utasikia mzee amesema Kiusalama watu flani hawaruhusiwi ktk huo msiba.Utasikia tuu.
 
Nukuu "Bora Lowasa ameondoka na kuhamia huko Ukawa maana angetufia sisi huku CCM bora Akafie huko Chadema"
( Celina Kombani, 2015)

Kwa Mapenzi ya Mungu Kafa yeye kamuacha Lowassa...Tuepuke Maneno Mabaya kwa Wenzetu.

R.I.P MH CELINA KOMBANI
 
1443187474426.jpg 1443187474426.jpg
 
Mh Magufuli kama zile PUSH UPS ni kumkebehi Lowassa,nikuombe urejee kwa MOLA wako na uombe msamaha wa dhati kutoka ndani ya moyo wako.Tunaamini MUNGU anayajuwa yaliyo ndani yetu na kamwa hadanganyiki.
 
Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA

Dah na yeye katangulia
 
Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA

Mh!Mungu ampe kile kinachostahili.
 
Nukuu "Bora Lowasa ameondoka na kuhamia huko Ukawa maana angetufia sisi huku CCM bora Akafie huko Chadema"
( Celina Kombani, 2015)

Kwa Mapenzi ya Mungu Kafa yeye kamuacha Lowassa...Tuepuke Maneno Mabaya kwa Wenzetu.

R.I.P MH CELINA KOMBANI

Maccm yanaroho mbaya sana , hata magazeti yao leo yamekomaa na propaganda za kipuuzi na kuacha kuandika msiba huu mzito wa Waziri wao.
 
Haya maisha we acha tu. Marehemu Komba amewahi kumsema vibaya Judge Warioba kuhusu kifo, cha ajabu akatangulia yeye.
R.I.P Celine.
 
Back
Top Bottom