Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,371
Natuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na marafiki, wananchi wa jimbo la Ulanga pamoja na watanzania kiujumla kufuatia kifo cha ndugu yetu mpendwa Mheshimiwa Celina Kombani.

Binafsi nimewahi kufanya kazi na Mheshimiwa Kombani kama naibu waziri kwenye wizara yangu na ninamkumbuka kwa moyo wake wa kujituma na uchakapazi wake.

Mimi na Regina tunaomboleza msiba huu mkubwa kwa taifa huku tukizidi kumuomba Mungu ampe pumziko la milele. Tunaiombea familia, ndugu pamoja na marafiki waweze kupita kipindi hiki kigumu na Mungu awape nguvu na ujasiri kwa kumpoteza mpendwa wenu.

Edward na Mama Regina Lowassa pamoja na familia nzima.
 
Lowassa anajua maana ya uongozi na anaenda na wakati na matukio. Lowassa hana chuki na mtu. Pole yao waliobeba chuki mioyoni mwao juu yake
 
4.jpg

Mwaka huu wajiandae kisaikolojia kuwa chama cha upinzani. Wasipokuwa makini yatawakuta yaliyomkuta ndugu yao KANU huko kenya


 
Sijui na kwenye msiba huu napo watamdhibi/mzuia Rais wetu mtarajiwa EL asihudhurie mazishi !
Tusubiri tuone .
 
Back
Top Bottom