Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

They can do nothing about this.
 
Tukutane kesho ofisi za NEC kumsindikiza mheshimiwa rais atakapokwenda kuchukua fomu
 
CCM wanatamani nao chama chao kijiunge na UKAWA kwa namna mziki ulivyo!!

Watawezaaaa?
 
Kesho sidhani kama huko mjini kutapitika.
Kwenda kuchukua form kwa lowasa kutafanya huko mjini kusipitike.
 

Hahahahaaa uuwi jamani raha ma ccm tuyafutilie mbali.
 
Nothing they can tell us.. ulipo tupo.. till end of time
 
Kesho sidhani kama huko mjini kutapitika.
Kwenda kuchukua form kwa lowasa kutafanya huko mjini kusipitike.

Mkuu kesho hata sisimizi hatapata nafasi ya kupita..... Watu watafurika ya ajabu sana na itakuwa historia katika Nchi hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…