Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Gamba @work

Last edited by a moderator:
CUF itaanza kupanuka Tanganyika nako baada ya Lipumba kujaribiwa na kuangukia mtegoni kwa ccm. Slaa ni kiboko yao, hategesheki kirahisi maana anawajua sana TISS ya ccm

Kuanzia leo CUF itakuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania...... Lowassa ni zaidi ya mafuriko

KWELI KIBAYA CHAJITEMBEZA. Ratiba yote ni kutetea maji machafu yaliyoingia ndani ya maji safi. Hayo maji safi yatakuwaje. Take it easy is just logical fallases

asante lowasa kwa kuleta umoja vijana, vijana wa cuf, chadema, nccr tumekuwa kitu kimoja, hata hapa jf kuna member kule celebrities tunatukanana lakini kwa lowasa ni kitukimoja, baadhi ya dada zangu kule mmu tunapigana madongo lakini huku ni kimoja, mabadiliko ni lazima via lowasa

Huna lolote gamba mkubwa wewe

Last edited by a moderator:
Uuuuwiiiiiiiiiiiiiii....nakufa kwa furahaaaaaaa....

Ukawa, Lowassa yaani hadi naumwa kwa furahaaaaaaaaaaaa.....!!!!

Nafurahaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!!!! Lowassa, Ukawa kama Messi, kama Obama, kama Yesu...!!!

Asante Mungu wa Mbinguni,

katende Baba!!!

Baba Shukaaaaaaa,

Shuka kwa Ukawa baba,

kawateketeze Maccm,

baba tendaaaaaaaaaa

Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

How Quickly Can They Reverse The Situation., With Only A Month And Some Few Days On Hand.. It Is Just Too Late.. Change Is Now.. Next Is Now..

Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

Do something for what? In which sense? Acheni mabadiliko yachukue mkondo wake!!!!!!! Dunia ni duara, inajizungusha na kuzunguka sayari nyingine. Asiyeyataka mabadiliko haya aende sayari nyingine.

Na wewe sifa zitakuua, situangalie tu kwny TV, maana utakanyagwa utosini

Sasa ndio nini? Hebu niambie tv gani watakayoonesha live?
Nataka uhakika la sivyo ukinidangamya urafiki wetu utakufa hiyo kesho.

Tena nawapenda sana wapinzani wangu wa celebrities siku hizi.
Ila ni wale ambao wako UKAWA tu, wengine unyama unyamani.

Uuuuwiiiiiiiiiiiiiii....nakufa kwa furahaaaaaaa....

Ukawa, Lowassa yaani hadi naumwa kwa furahaaaaaaaaaaaa.....!!!!

Nafurahaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!!!! Lowassa, Ukawa kama Messi, kama Obama, kama Yesu...!!!

Hunizidi mimi kwakweli!

Wanafiki hao, kumbuka usemi wa Augustine Lyatonga Mrema khs mtu mnafiki kuwa na sura tatu(3).

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…