Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Ambacho haukijui Dar siku zote ina wapigakura wengi wa ccm na si wapinzani. Wapinzani bado wana karata nzuri mikoani kuliko hata Dar. Wanatakiwa wajipange tu.
 



Katika Watu Wako Wote Hao 22 Kwa Rekodi Ambazo Ninazo 20 Wapo Katika Payroll Ya CCM Na 17 Wapo Idarani Na Wanawajibika Katika Kuleta Taarifa Zenu. au Unataka Nikutajie ILI Mjione Mlivyo MAPOPOMA Na WATUPU Kwa CCM? Na Kwa Taarifa Yako Tu Matola Hivi Ninavyokuandikia Hii Post Kuna Watu 7 Katika Hiyo List Of Shame Yako Ya CHADEMA Na UKAWA Hiyo Uliyotutajia Hapo Wamenipigia Simu Kuwa NICHUNE Na NISIWAUMBUE Na Bahati Mbaya Sana Hii ID Yangu Hawaijui Na Nawachenga Na Nacheza Mno Na AKILI Zao. Ukiniruhusu NIWATAJE NITAKUTAJIA Kisha Huko CHADEMA / UKAWA Kwenu KINUKE.
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana mkuu. Binafsi sina hata haja ya kuangalia campaign za hawa jamaa. Ushindi ni obvious kabisa
 

Mkuu subiri kikozi kazi cha campaign za CCM kikiongozwa na fundi January Makamba. Nadhani unanisoma vizuri. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa. UKAWA ya Lowassa inategemea nguvu ya fedha bila maarifa. CCM ina fedha plus vichwa.
 
Tarehe 25 oktoba mtarejea katika mbuga zenu enyi "nyumbu" wa chadema. Jukwaa litabaki na "great thinkers" tu.
 

khahahahaaa ....hakika unafik ni dhamvu mbaya...
 
Last edited by a moderator:
asante wana cuf na umma kwa ujumla kwenda kumshuhudia huyo ibilisi ndani ya chama chetu, ila ninauhakika hamtafanya makosa siku ya uchaguzi. umma wetu twamjua hasa nani ni adui yetu, kwa mbowe na huyu lowasa ndo tutamuimalisha adui yetu.
hawa wakaskazini hawapo ikulu lakini watutesa hivi kwenye ajira nono na biashara, hakika wakienda ikulu wanaweza wakatuhamisha nchi. tuwaache wajipigie kura wenyewe
 
Mkuu subiri kikozi kazi cha campaign za CCM kikiongozwa na fundi January Makamba. Nadhani unanisoma vizuri. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa. UKAWA ya Lowassa inategemea nguvu ya fedha bila maarifa. CCM ina fedha plus vichwa.

Hata Al Sahaf wakati Baghdad imeshatekwa bado alionekana akiongea kwa mbwembwe nyingi kwenye tv. Nakuombea uhai ushuhudie ccm tunavyoitupa kwenye jumba la Makumbusho october.
 
Yegoo tulia ww acha kutokwa povu. Subiri uone wateule wanavyokula kichwa(CCM) October ndo utaamini kuwa EL n chaguo la Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…