Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
mwaka huu lazima kampeni zisimame kusubiri mtu akiwa amekweda kutibiwa ujerumani.Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Matendo gani katenda zaidi ya ufisadi wake wa kutuibia watanzania?Nadhani Watanzania wanahitaji Rais wa vitendo zaidi kuliko maneno mengi kama chiriku . EL ni mtu wa maneno machache na vitendo vingi sio kuwaweka watu wakusikilize kwa masaa 2 huku unachoongea ni pumba tupu
Kwani hata Kibaki na Uzee wake si alifanya kampeni na kama unakumbuka alipata ajali ya gari siku za mwisho za kampeni na bado akawa Rais!!! Hawa CCM wako taabani bin vUUU!!
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
mwaka huu lazima kampeni zisimame kusubiri mtu akiwa amekweda kutibiwa ujerumani.
mwaka huu lazima kampeni zisimame kusubiri mtu akiwa amekweda kutibiwa ujerumani.
Matendo gani katenda zaidi ya ufisadi wake wa kutuibia watanzania?
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
duh ....kazi kweli kweli....mimi naangalia hii series tu bossAlipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Kichwa chake kipo poa???? umemsikia mtoto wake jana???
Hili watanzania tunatafuta bomu. litatulipikua siku yoyote.
Duh sasa kama ni kweli...inakuwaje jamaa anataka kuwa kiongozi wa nchi boss? duh kazi kweli kweliSijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
kweli kabisa mkuu...kiongozi wa nchi siyo kitu kidogoIngawa Mungu ndo anatupa uhai... tunapaswa kutumia busara na hekima wakati tunafanya maamuzi na ndo maana Mungu ametupa akili ya kichagua mema na mabaya
Matendo gani katenda zaidi ya ufisadi wake wa kutuibia watanzania?
kama kuna mtu anajua kesho yake itakavyokuwa aseme..... kama ulivyojifunza kutumia simu na kompyuta mazingira yalivyokulazimu kujifunza.... nadahani pia mazingira yatamlazimu ajifunze kuongea mbele ya watu........
yawezekana ni mepesi lakini ya msingiMajibu yako ni rahisi na mepesi mno!Hili nisuala nyeti sana kwa taifa!