lowassa ataka viongozi waadilifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

lowassa ataka viongozi waadilifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Jan 9, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  katika kile cha sintaamini masikio yango mbunge wa monduli anasema na kuwasa viongozi kua wawe waadilifu na wasie mafisadi na wawatumikie wananchi ama kweli sina la kusema
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Source Please!
   
 3. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nilifikiri angetangaza kuacha ufisadi.asituletee upuuzi hapa
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sio kuacha ufisadi tu na arudishe mali zote alizozipata kwa njia ya ufisadi.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kama ni kweli...... basi arudishe pesa zote ambazo amepata isivyo kihalali ..... ndio tutamsamehe.....
   
 6. m

  mzambia JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Je yeye ni muadilifu?
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mr> nzom , KAYASEMA WAPI HAYO MANENO? KATIKA SHUGHULI GANI? SOURCE?
   
 8. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Strategy: Paving the way for 2015 General Election
   
 9. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua dhambi ni dhambi inapokuwa kwa mwenzako ikiwa kwako huioni kama ni dhambi. Hata Mlevi ulevi wake hauoni ila wa wenzake ni rahisi kuwaita wenzake walevi ilia sio yeye hata kama amelewa
   
Loading...