Edu anachokisema ni sahihi kimefanyika kwa NHC huko Dar-es-salaam kwenye kujenga Maghorofa yanayoporomoka, Matajiri wameiingia ubia na NHC,wao ndiyo wenye ardhi wanahisa 30% na Mbia ana 70%.
Nchi zenye kutaka kuwakomboa wananchi wao kutokana na umasikini hilo siyo wazo baya.
Na mbaya zaidi saizi NHC wanauza almost everything, my worry ni kama baada ya miaka 60 kutakuwa na NHC....... Wazo la mapato kadhaa ibaki kwenye eneo husika ni moja ya njia ya ukombozi kwa nchi masikini na hasa Tanzania ambayo kila mkoa kuna resources zinazoweza kuwa fully utilized...
it is unduly and blind man ideas. The Maasai are loitering all-over the country for their animals' pastures, who asked them to offer 70%. several times we have been saying that EL is immaterial asset for president, he always comments/speaks without researching. Analopoka.which is a very intelligent advice; watakua na say kwenye naeneo yao
shida yako ni kuwa one sided, maasai akifanya hivyo, na wewe mkwere ukasema ardhi yangu ni ya thamani as well na sitaki maasai aje alete ng'ombe wake wanyewanye hovyo kutakua na shida gani??it is unduly and blind man ideas. The Maasai are loitering all-over the country for their animals' pastures, who asked them to offer 70%. several times we have been saying that EL is immaterial asset for president, he always comments/speaks without researching. Analopoka.
wote ni haohao mnaolopoka bila kufanya utafiti. Ukienda huko unakosema makonde wana hati miliki nyingi sana kuliko kwa huyo mlopkaji wenzio wa 70%. Kama ungelifanya utafiti usingezungumza wamakonde. Nenda vijiji vya mkoa wa mtwara & lindi kama Miungo, mitonji, Ulungu, Mapanyani, chikunji, chiwambo, mbuyuni, mijelenjele, mnopwe, mpulima, kivukoni, mkutimango, namisango, Namanjelele, mpulima, mtengula, mkahara to mention a few. Wanazo hati miliki za ardhi nyingi sana, kuliko huko umaasaini ambako hawajui hata mipaka ya mashamba yao.shida yako ni kuwa one sided, maasai akifanya hivyo, na wewe mkwere ukasema ardhi yangu ni ya thamani as well na sitaki maasai aje alete ng'ombe wake wanyewanye hovyo kutakua na shida gani??
Nchi haziendelei kwa kutegeana na kunyoosheana vidole, zinaendelea kwa kufanya maamuzi na kutekeleza
Tuna shida sana watanzania, kupinga everything, and do nothing
i think wewe unaropoka kuliko yeye at this point
Mkapa aliwaambia, rasimisheni mlivyo navyo, mkakaa kimya sasa wamakonde wanapoteza rasilimali zao zote kwa wageni, if they had formal ownership na land yao, sasa wangekua wabia na sio waandamamaji
Tafuta hoja nyingine, but not this one
wote ni haohao mnaolopoka bila kufanya utafiti. Ukienda huko unakosema makonde wana hati miliki nyingi sana kuliko kwa huyo mlopkaji wenzio wa 70%. Kama ungelifanya utafiti usingezungumza wamakonde. Nenda vijiji vya mkoa wa mtwara & lindi kama Miungo, mitonji, Ulungu, Mapanyani, chikunji, chiwambo, mbuyuni, mijelenjele, mnopwe, mpulima, kivukoni, mkutimango, namisango, Namanjelele, mpulima, mtengula, mkahara to mention a few. Wanazo hati miliki za ardhi nyingi sana, kuliko huko umaasaini ambako hawajui hata mipaka ya mashamba yao.
Changia hoja acha vioja
As for you, hakuna hoja nzuri zaid ya ile yakumsifia Baba yako Lowasa. Hata mtu angetiririka vip.
huna unalojua...
Walewaleeeeeee!
Na itawakaba sana tym hii. Hachimoki mtu. Hamuwez kutuletea ukanjanja hapa.
Hilo jina hilo... Mzee alikua mtu wa maana sana Tanzania
kweli kabisa... CCM ni wezi sana, litendee haki jinaNi kweli. Pamoja na umaana wake, hakuwahi kuvumilia wezi au kuwashadadia kama mnavyompetipeti Lowasa(Fisadi).
By the way, hili ni jina langu la kitofu(Ki'mila). So, don't panic
Raisi mtarajiwa wa monduliSafi sana Mh.Edward Lowassa kwa kutoa elimu ya maendeleo kwa wananchi hao...
Hakika ww ndie raisi unaestahili kwa taifa hili... we Love you Lowassa
Rais wa wapenda maendeleo Tanzania.
Angekuwa na huu uwezo wa kudhibiti mikataba ya kilaghai ungekuta ni waziri mkuu mpasa sasaMzee wa kuthubutu, mwenye uwezo wa kuvunja mikataba ya kilaghaia kujali nini wasioitakia mema nchi yetu watasema.
Dah,bora maana na soda zitashuka bei,maana hili joto la Dar na Azam cola hazishikiki lol.Najua sasa soda zitashuka mpaka sh500 kwa mil350.
Ahsante Mungu,Ahsante kua mtanzania.
Lowasa hana sifa za kuwa raisi wa Tanzania labda raisi wa WAMA
Kagawa tshirts nchi nzima eti zimeandikwa "friends of lowassa" mwizi mkubwa wa mali ya umma aende zake watanzania hatumtaki.
Wewe jitoe ufahamu tu
Angekuwa na huu uwezo wa kudhibiti mikataba ya kilaghai ungekuta ni waziri mkuu mpasa sasa
Labda raisi wa WAMA
Raisi mtarajiwa wa monduli
kweli kabisa... CCM ni wezi sana, litendee haki jina