Yaani rasilimali zote zilizokuwepo Tanzania ameamua kuzungumzia magadi tu!! Na huyu ndiye anayetaka kuwa Rais wa Tanzania!!!
Wananchi tushadanganywa sana sana ardhi vijijini zinauzwa sana, Wakenya wanawatumia wanavijiji kununua ardhi. ...EnL anamaanisha kuwa Partnership katka ardhi na Kanuni yake ni kuwa lazima ifuate sheria na mwananchi mzawa ndo atapata 70% Twende na EnL kihalisia
Jaribu kuelewa kwanza kabla ya kulaumu!
Mh. Lowasa ni Mbunge wa eneo Hilo lililogunduliwa magadi kwa hivi sasa hivyo anaongelea Madini ambayo yamegunduliwa ktk eneo lake hivi karibuni.
TUMPE nchi nzima ili asimamie na kutoa kauli kwa nchi nzima!
Naona unacoment mwenyewe
Piga ua Lo hasa haji kuwa Rais wa nchi hii.
UKIKOHOA WIKI MBILI ZAIDI NI DALILI
ZA AWALI ZA KIFUA KIKUU NENDA KAPIME
STOP TB
sisomagi upumbavu wa lowasa
dhahabu inatumika kama mapambo mbona thamani yake ipo juu ??
hayo magadi yangekua dili kama unavyotaka kumaanisha watu wangekua washagawana vitalu acha uj.inga hebu changanya na zako
magadi matumizi yake hasa ni nini ukitoa kupikia
Wazo la Lowassa liko vizuri sana. kenya wameanza hilo, ambapo 45% ya mapato ya resource inabaki katika County husika....... kwaiyo siyo jambo geniNilisikia katika taarifa ya habari Lowassa akisema kuwa wamasai wasiuze ardhi yao bali watakao kuja kuwekeza wawaambie wawagawie 70% ya hisa.
Najiuliza, ina maana wananchi wa Nyamongo wadai 70% ya hisa kutoka mgodini? Wananchi wa Lindi wadai 70% ya hisa kutoka Dangote, wananchi wa Mtwara wadai 70% ya hisa kutoka Petrobras?
Je, formula hii itatumika kwa Vodacom, Airtel, na TANAPA kwenyewe tunafanyaje?
Mimi nilitegemea angeshauri kupitia NDC wananchi wanunue hisa za kiwanda cha magadi, au mkuu alimaanisha nini hasa?
Mwenye shamba akipewa 70% ya hisa wananchi wengine walioko nje ya hilo shamba inakuwaje?
Na mbaya zaidi saizi NHC wanauza almost everything, my worry ni kama baada ya miaka 60 kutakuwa na NHC....... Wazo la mapato kadhaa ibaki kwenye eneo husika ni moja ya njia ya ukombozi kwa nchi masikini na hasa Tanzania ambayo kila mkoa kuna resources zinazoweza kuwa fully utilized...Edu anachokisema ni sahihi kimefanyika kwa NHC huko Dar-es-salaam kwenye kujenga Maghorofa yanayoporomoka, Matajiri wameiingia ubia na NHC,wao ndiyo wenye ardhi wanahisa 30% na Mbia ana 70%.
Nchi zenye kutaka kuwakomboa wananchi wao kutokana na umasikini hilo siyo wazo baya.
Changia hoja acha viojaJamaa (EL) ni zaid ya Ebola! Take care!
Na mbaya zaidi saizi NHC wanauza almost everything, my worry ni kama baada ya miaka 60 kutakuwa na NHC....... Wazo la mapato kadhaa ibaki kwenye eneo husika ni moja ya njia ya ukombozi kwa nchi masikini na hasa Tanzania ambayo kila mkoa kuna resources zinazoweza kuwa fully utilized...