Lowassa atafufuka kweli?

Lowassa atafufuka kweli?

Nashukuru mkuu CHIEF MP kwa kupendekeza nipewe tuzo ya uchambuzi makin, not biased.Hiyo ndo ilikuwa makara yangu ya kwanza, nilikosa connect na Raia mwema, nilitaman sana waitoe, ndo bas tena. Mungu atulinde tuone mwisho wa safari ya matumaini.
 
Lakini tukumbuke michuzi ni kitu kingine;wote wanaanza vizuri,baadaye mwishoni michuzi inawazingua wana'change'Sijui labda km ana damu km ya Moringe sawa,isije ikawa wanatuonyesha ubingwa wa kutunga KAULI MBIU.Lakini kwa vile ana tu michuzi mbuzi labda;hela zilimuua YESU.Sisi ni kusubiri na kuona
 
Ningekuwa mm ningetumia michuzi mingi kuwashawishi wapitishaji wa mwisho;Maana kwa historia ya nchi hii,alopitishwa ndo mshindi
 
Nimependa ulivyoiweka hii mada. Hakika u mwandishi mzuri. Namaanisha unaweka mtazamo wa habari kwa umakini. Umejiengua kwenye kukashifu wengine au kusifia bila busara.
Natamani uandishi wako uwe maarufu zaidi
 
Sitakuja kusahau mradi wa mapacha watatu (lowasa, kiwete na rostam) wa kuchichongea kampuni feki ya richmond ambayo haikuwa na fedha, ofisi, mitambo wala uzoefu. Kila siku walikuwa wanaikamua tanzania milioni 152. IMAGINE. Nasikia wasingeshitukiwa kwenye dili hii walikuwa mbioni kuunda kampuni km 20m feki ili kurudisha pesa walizokuwa wametumia wkt wa uchaguzi. Style ileile ealiyotumia kumuingiza kikwete wanataka kuitumia tena. ZILE KAMPUNI FEKI 20 AMBAZO ZILIFELI KUANZISHWA SASA ZITATUMIKA KUPORA UTAJIRI WA NCHI KM KWELI IKATOKEA lowasa jambazi sugu na fisadi papa akawa rais wa tz

Dah! sasa si uende kituo cha polisi ukatoe taarifa Lowassa ni jambazi sugu akamatwe..!?
 
Afya yake je?watu hawaangalii hilo,huyu mzee mbali ya kashfa hizo hayupo fit nasikia ukimwangalia ktk video za karibuni mkono unatetemeka sana na anafanya juhudi kubwa kuuficha!wanasema ni kama ugonjwa alokua nao sir alex ferguson,ameshaenda nje kwa matibabu mara kadhaa pia mpaka kwa TB joshua,je mzee anaumwa nini?isije kutokea ya rais wa zambia marehemu
 
Afya yake je?watu hawaangalii hilo,huyu mzee mbali ya kashfa hizo hayupo fit nasikia ukimwangalia ktk video za karibuni mkono unatetemeka sana na anafanya juhudi kubwa kuuficha!wanasema ni kama ugonjwa alokua nao sir alex ferguson,ameshaenda nje kwa matibabu mara kadhaa pia mpaka kwa TB joshua,je mzee anaumwa nini?isije kutokea ya rais wa zambia marehemu

ana kanyesha!
 
Mkuu tunahitaji watu aina ya Lowasa, Familia zote na taasisi zenye maendeleo zina walezi wenye sifa tajwa hapo juu na si vinginevyo.Hakika hii nchi inamuhitaji EL

Familia Yangu Ina Maendeleo, Lakini Haina Mlezi Mwizi Kama EL.
Nchi Yako Na Ukoo Wako Ndo Inayomwitaji Lowasa.
 
Jemedari asiyekufa kwa risasi moja, kama na hili pigo utajaribu kufufuka comred wangu basi mimi simo kwenye ufalme wako. Pumzika kwa among..
 
Jemedari asiyekufa kwa risasi moja, kama na hili pigo utajaribu kufufuka comred wangu basi mimi simo kwenye ufalme wako. Pumzika kwa amani...
 
Hawezi kufufuka na afya ile migogoro hawezi kupenya sir EDO
 
Back
Top Bottom