luhala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 412
- 142
Nawashangaa mnaoshangaa fisadi papa huyu kushinda kwa kishindo kura za masai wenzie wa kule Arusha.Binafsi sishangai kwa sababu amechaguliwa na kundi dogo la watu linalonunulika kwa fedha ambayo kibakaLowassa amemaliza yaani kofi la uso haswa! Nina furaha kwa ushindi wake na amejibu wale wote waliokuwa na shaka naye, nusu saa iliyopita nilisoma thread ya pasco mmh alinitia shaka nikawa nadhani labda ccm wanaweza wakamtosa kama Sumaye! Kumbe kutoswa kwa Sumaye ni draft la Lowassa! Well done EL!
asiye aaibu huyu si tatizo kabisa. Ukweli ni kwamba wigo ukipanuliwa hataweza kuwahonga wapiga kura wote Tanzania nzima!