Lowassa ashauriwa asigombee urais

CHABRUMA Baada ya kuaibika na waru kumshtukia kwisha habari yake kwa sasa,na Baada ya kuambiwa kuwa asioende kutumiwa 0712.....yake hovyohovyo amepotelea mbali,naona anakuja na.njia mbadala ya Allan(hahahhahaaaa)
 
Kuna mijitu mijinga sana,mda wote ni majungu,wasijue nyota ya Lowasa inang'aa sana
 
lowasa asigombee ili mume wako agombee sio?
Hahahahha mkuu umemaliza kila kitu, sifa kubwa la hili kundi ni kugawa 0714444 kwa mfano Nyalandu, Chabruma na huyu Allan.kama huyu dogo Allan namfahamu sana jamaa anayemtafutie wanaume ni Steve Nyerere na inasemekana popote aendapo mchepuko wa Aunt Ezekiel jamaa hakosi, na mbaya zaidi juzi Arusha walilala room moja na mchepuko wa Aunt Ezekiel sasa hapo kuna nini tena kama sio mambo ya cameroon
 
Asipogombea hela yake aliyoonga itarudi vipi?
 
CHABRUMA Baada ya kuaibika na waru kumshtukia kwisha habari yake kwa sasa,na Baada ya kuambiwa kuwa asioende kutumiwa 0712.....yake hovyohovyo amepotelea mbali,naona anakuja na.njia mbadala ya Allan(hahahhahaaaa)

Ni kweli mkuu, hili kundi linaongoza kwa kugawa 071222222, ndio tabia yake kubwa, hata vijana wake wanajua hili, ukienda pale Mandi mitaa ya Lumumba vijana wa hili kundi wanasema na kutaja watu wanatoa hiyo serive walivyo wengi kwenye hilo kundi la Membe
 
Kila siku lowassa inaonekana anawaumiza sana vichwa....mnamrushia kila aina ya uchafu bila kutambua kuwa ndiye mteule wa taifa la tanzania 2015@@@@@acheni kutumika hivyo ndugu zangu yatupasa kuijenga nchi yetu na si kumchafua mtu kwa maslahi ya mjinga mmoja
 
Kuna mijitu mijinga sana,mda wote ni majungu,wasijue nyota ya Lowasa inang'aa sana
Tatizo mgombea wao Hauziki kabisa, so walichobaki ni kuzusha mambo kwa wenye nyota kungaa....ila ni advantage kwa Lowassa because jina lake linazidi kungaaaaaaaaaa sana sana
 
Wakati tulio fikia sasa ni mgumu maana kila mtaka urais ana mpiga vita Lowassa kwa sababu ananguvu kubwa na hata wakiongeza nguvu kwa kuungana hawamuwezi sasa fitna lazima wapike.... Lowassa anakubalika CCM na Upinzani swali ni kwanini ..?
 
Mkuu alishawai kumhonga mume wako nini, ebu tupe habari anahonga wapi ili na sisi tukazichukue?

Pesa anazoonga makanisani wewe huzioni?, yeye kama mtumishi wa umma hizo pesa kazitoa wapi?, kama hizo pesa anapewa na marafiki zake, atawafanya nini hao marafiki zake iwapo watakwepa kodi wakati yeye akiwa Rais?

Think critically
 
Well said mkuu....hawa vijana wa WAMA majinga kabisa, tatizo hawana strategies za kumuuza mtu wao, wenyewe ni kuzusha mambo ya kijinga jinga.....Ukimya wa Lowassa ndio ushindi wake aachane na hawa watu waliokwisha shindwa zamani sana
 
Pesa anazoonga makanisani wewe huzioni?, yeye kama mtumishi wa umma hizo pesa kazitoa wapi?, kama hizo pesa anapewa na marafiki zake, atawafanya nini hao marafiki zake iwapo watakwepa kodi wakati yeye akiwa Rais?

Think critically

Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana
 
Njaa mbaya sana...acha kutumika kizembe
 
Tatizo la Membe wanaomuongoza, haiwezekani uongozwe na Makonda halafu uwe na akili timamu.
 
cheap politics..cant buy it...
 
Tatizo la Membe wanaomuongoza, haiwezekani uongozwe na Makonda halafu uwe na akili timamu.

Makonda mwenyewe kichwani hakuna kitu, shule alifeli, akaiba jina la mtu la Paul wakati jina lake ni Daudi.....alafu huyo ndio awe katika timu yako wakato hakuna watu vijana wanamzarau kama Makonda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…