LOWASSA ARUDI MONDULI, ANENA

Yeah!
Ita

Sasa Chadema wana kazi ya kumtafuta mgombea kutoka CCM kwa ajili ya kumkabili Mgufuli 2020. Wakijidanganya na mzee Zero chama kinakufa.
CHADEMA wana kazi kubwa mbili mbele yao. Kumtafuta Mgombea Kwenye urais ujao wa 2020 na kumtafuta Katibu Mkuu atakayevaa viatu vya Dr Slaa
 
Always akili zenu ni kuchokoza watu; Hapo ni Handeni, wewe unasema Monduli!!? Anyways, hii ndo kazi inayolisha familia yako, siwezi kukulaumu.
 
Nampongeza mzee lowassa kwa hili, apumzike na mifugo yake, maisha yaendelee.
Heko mzee! Chadema wanamtumia na kumfilisi.
 
Yeah!

CHADEMA wana kazi kubwa mbili mbele yao. Kumtafuta Mgombea Kwenye urais ujao wa 2020 na kumtafuta Katibu Mkuu atakayevaa viatu vya Dr Slaa


Sidhani kama mgombea 2020 ni shida,nafasi ya katibu mkuu umeshaambiwa january atapatikana shida iko wapi.
 
Afadhali ya Lowassa ana ranch na mifugo wengine humu hata kuku na mbuzi huna kwenu kazi kushinda kwenye mablogu
 
Back
Top Bottom