Natamani nikutafute ili nikuone, na huo usomi wako unaojiita umesoma ili uje ujionee tofauti iliyopo kati ya mimi na wewe, naona kuanzia hiyo siku utaacha kabisa kujifananisha na mimi.
mtu haipendi ccm lakini anamkubali EL mim hapo ndiyo nashindwa kuelewa! bora ccm waendelee kuongoza nchi tu raia huku tumeshajichokea na tumeshakuwa sugu
Natamani nikutafute ili nikuone, na huo usomi wako unaojiita umesoma ili uje ujionee tofauti iliyopo kati ya mimi na wewe, naona kuanzia hiyo siku utaacha kabisa kujifananisha na mimi.
Hahhahahahaha uza ng'ombe tu mdogo wangu haya mengine yaache... Elimu ni ngumu sana... Mi juzi nimetunukiwa uprofesa na VETA sasa mdogo wangu hata la tano hukufika, kweli utaweza kupambana na le profesa kweli... Utaniona tu siku ya mnada wa ng'ombe... teh teh teh teh