CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.
Wewe nae ni ndina kweli! Unataka kutueleza kuwa wamempokea akiwa rais wa nchi au mgombea aliyeshindwa? Take in mind - lowassa ni waziri mkuu mstaafu so saluti ni halali yake
Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!
Anakubalikakwahiyo inatufundisha nini?
kwani tatizo ni nini?Kweli anakubalika na walinzi wa usiku tena waliovaa sare zao za ulinzi na raba nyeupe! Mwenye akili asinge weka hii picha kwa ajili ya kumsifia kwani inaelezakinyume chake! Fanya Editing, mkate huyo mmoja ubaki na MKK au kama unataka sare zinazofanana na jeshi zionekane mkate mguu huyo mzee wa raba nyeupe. Ushauri tu, kwani akili zimetofautiana sanaaaaaaa
Itifaki ipi?Halafu haujui maana ya saluti, saluti ni salam anayotoa asikari kwa asikari mwenzie au kwa kiongozi kulingana na muktadha na itifaki. Kupigiwa saluti kwa lowassa sio kwamba ni mtu maalum bali ni kulingana na itifaki iliyokuwepo
Huko kenya alikwenda kama nani, ukinijibu hapo utajua maana ya itifaki iliyotumika kumpigia saluti, usifikiri kuwa lowassa anaogopeka au kuheshimika kiasi cha kupigiwa saluti bila kuzingatia itifaki.Itifaki ipi?