Mh. Laigwanan Edward Ngoyai Moringe Lowassa anastahili ulinzi wa ziada ili kumlinda na wabaya wake (CCM) kwani hawa waovu hawakawii kumfanyia kitendo cha kigaidi kama kile walichmomfanyia Horace Kolimba.Ni jambo lililo wazi kwamba CCM hawana namna nyingine ya kupambana na UKAWA zaidi ya kushiriki vitendo viovu kama hiki.
Sasa hivi Mh Lowassa ndiye adui namba moja wa CCM na waovu hawa wako tayari kufanya kila hila yoyote dhidi ya UKAWA bila kuzingatia gharama ya uovu huo.
Baada ya kumchakachua matokeo kwenye kura za maoni na kisha kushindwa kumtisha abaki CCM, kuna kila dalili CCM kufanya kitendo kiovu kwa Mh. Lowassa.
Hivyo basi, ulinzi madhubuti na makini unatakiwa kutolewa na wanaUKAWA na kila mtanzania mpenda maendeleo kwa kuwa Edo ndiye tumaini pekee kwa watanzania kujikomboa kutoka utumwa wa CCM.
Nitoe rai kwa uongozi wa UKAWA kumpa ulinzi wa ziada kiongozi huyu wa kitaifa na kimataifa ili kumlinda na kila uovu na hila za CCM. Ikiwa CCM walitupa mabomu kwenye mkutano wa siasa na kuhatarisha maisha ya raia, hawashindwi kumfanyia ugaidi kama huo kamanda Lowassa.
Lowassa ndiye mboni pekee inayowapa nuru watanzania itakayowaangazia na hatimaye kuwawezesha kutoka msitu wa giza nene (CCM) ambamo wamekuwa wakiogelea tangu enzi na enzi.
Ni jambo la kawaida kwa CCM kucheza rafu ya aina yoyote, bila kujali madhara kwa mhusika au wananchi, ilmradi tu malengo yao ya kisiasa yatimie.
Kwa kuwa tuna uzoefu wa kutosha na hawa waovu, ni bora tahadhari ichukuliwe mapema kuhakikisha kwamba hawapati nafasi ya kuendeleza uovu wao.
Tafakari, chukua hatua!
:israel:
watamuangusha na zile drone za maliasili za kulindia tembo
alichowafanya mwandosya na mwakyembe mungu analipa mwaka huu
tunamsubili alichowafanya mwakyembe na mwandosya na yeye zamu yake,
Mkuu haya yote yanasababishwa na ccm kukosa waledi.tuungane kuitoa madarakani-tumechoshwa na double standards za ccmAma kweli penye udhia penyeza lupia....yaani leo huyu Lowasa amekuwa lulu CHADEMA na amekuwa msafi kama theruji......wonders shall never end....
Mkuu acha uzushitunamsubili alichowafanya mwakyembe na mwandosya na yeye zamu yake,
alichowafanya mwandosya na mwakyembe mungu analipa mwaka huu
Kosa limefanyika 2009. Lilikuwa in cold storage. Limeletwa katika foreground Lowassa alipoanza vitisho vyake.kwenda on TV kuwatishia maisha watu milioni 40.
Labda kwa kuwa anaogea sabuni ya omowe una usafi gani
Mkuu hoja yangu si kuwa naikubali CCM hapana...mimi ni mwanamageuzi ninayetaka mabadiliko lakini si kwa mtindo huu....Mimi nina imani na Dk Slaa na wala si LOWASA...Hata kwa kumtazama tu machoni unaweza ukagundua kuwa huyu bwana hayupo pamoja nasi kiroho bali kimwil....huyu yeye ana malengo yake binafsi ya kuupata uraisi ,hayo malengo anayafahamu yeye na wapambe wake ambao wote wana walakini kimaadili......Pia ninaamini katika dhambi ya usaliti....Dhambi ya usaliti haiachani mbali na dhambi ya ubaguzi...kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea na kuapa kuwa kamwe hataondoka je atashindwa kutusaliti huyu tukishampa rungu la uraisi....>????Mkuu haya yote yanasababishwa na ccm kukosa waledi.tuungane kuitoa madarakani-tumechoshwa na double standards za ccm
Mkuu hoja yangu si kuwa naikubali CCM hapana...mimi ni mwanamageuzi ninayetaka mabadiliko lakini si kwa mtindo huu....Mimi nina imani na Dk Slaa na wala si LOWASA...Hata kwa kumtazama tu machoni unaweza ukagundua kuwa huyu bwana hayupo pamoja nasi kiroho bali kimwil....huyu yeye ana malengo yake binafsi ya kuupata uraisi ,hayo malengo anayafahamu yeye na wapambe wake ambao wote wana walakini kimaadili......Pia ninaamini katika dhambi ya usaliti....Dhambi ya usaliti haiachani mbali na dhambi ya ubaguzi...kama ameweza kukisaliti chama kilichomlea na kuapa kuwa kamwe hataondoka je atashindwa kutusaliti huyu tukishampa rungu la uraisi....>????