Ama kweli penye udhia penyeza lupia....yaani leo huyu Lowasa amekuwa lulu CHADEMA na amekuwa msafi kama theruji......wonders shall never end....
Mkuu unamaanisha kuwa yule tuliyekuwa tukimpigia debe kuwa apelekwe mahakamani kwa ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma huku tukijinadi kuwa tuna ushahidi wa kutosha leo hii tunapigia debe apewe ulinzi na sio kupelekwa jela............Ndugu zangu, maCCM hayaamiki kabisa...ni sawa na fisi mwenye njaa anayemfuata mtu nyuma akitegemea mkono udondoke apate kitoweo. Hawa mafisi ni wa kuwaogopa zaidi ya UKOMA!
View attachment 272531
Bado naendelea kushangaa tu.....kwa mifano inayotolewa kumsafisha huyo bwana...........Sauli alikuwa Muuaji Mkuu wa Watu wa Mungu baadaye aliongoka na kuitwa Paulo.Wakristo wote wanamheshimu Paulo mpaka Leo.
Bado naendelea kushangaa tu.....kwa mifano inayotolewa kumsafisha huyo bwana...........
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
haa haa nalo si jambo la kupuuzwa kamwwe...
plan wanayoweza kutumia ni labda kumuua Dr. slaa kipindi hiki ambacho kuna sintofaham dhidi yake na kusakaxia CHADEMA kuwa ndyo waliomuua. lkn kwa sasa hali imedhibitiwa.
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
Kwanza nilazima ulimwe, kisha upuliziwe dawa nakupaliliwa ukisha maliza hapo tunakuvuna nakukuwekea dawa yakuku ifadhi, kisha tunakuchambuwa nakupeleka sampo tbs tayari kwa kibali cha mlaji. Sasa ikishindikana hapo lazima ukatwe tangu shambani. Kwa bwana Lowasa alikatwa tangu shambani baada yakujilikana yeye alikuwa ni uyoga wenye sumu kali katikati ya uyoga mzuri.
Naomba tuaminiane kama watanzania tusijenge woga na hofu katika maisha yetu. Tumtangulize Mungu kwa kila tufanyalo, na sidhani tumekuwa mashetani kiasi cha kutafuta roho za wengine kwa sababu ya kutafuta madaraka. Tuwaache wananchi wamchague wanayempenda hapo taifa litakuwa limepata tiba!
Kweli usiopingika lowasa ndye mkombozi wa taifa letu kwasasa kutoka kwa mafisadi ccm, anasitahili kulindwa kwa nguvu zote kwani hawa jamaa wamebanwa sio wakuamin hata kidogo...
watamuangusha na zile drone za maliasili za kulindia tembo
Ccm ni karibu sawa na shetani. Kama kungekuwa na cheo kikubwa zaidi ya shetani basi tungewapa hicho.
Aongezewe au abadilishiwe? Mbona nimeona bado analindwa na yule Mlinzi wake wa usalama wa taifa Bwana Tendewa.