Lowassa anena, amponda Kikwete kimtindo...

Lowassa anena, amponda Kikwete kimtindo...

Status
Not open for further replies.
Hivi Lowasa amechanganyikiwa nini?
Lowasa hajachanganyikiwa mkuu bali kuna vijana wake wa kazi maalumu humu JF ndo wanachemka namna ya kuwasilisha walichotumwa kuwasilisha.
Laiti silver hair akisoma hii thread naamini Kichwa Ngumu u r fired.
 
Mbona hakuweza hayo anayotuahidi alipokuwa serikalini,akitaka tumpe kura amwambia pacha mwenzake arudisha hela ya EPA,KAGODA na akiri kuwa wamefanya utapeli kupitia Richmond na Dowans watubu mbele ya hadhara hapo tunaweza kumfikiria yeye na huyo kingmaker wao,lasivyo akizidi kujishabadua atakiona cha moto
 
Ukweli ni kwamba jamaa yenu hana HAIBA ya Urais. Amekaakaa tu. To me Kikwete is a zillion times better than this clown. Mtu anayeficha udhaifu na ufisadi wake kwa uongozi wa vitisho na maapizo. Aliniachaga hoi na kauli yake ya 'Ndege yetu ya uchumi', ndege ya uchumi my azz. Na zile mvua za kujaza mabwawa za Wathailand zikaota mbawa. To me the guy is the opposite of a leader we want, abakie hukohuko kwa wachunga ng'ombe wenzake, presidency ktk era hii requires people of highest qualities possible na sio fisadiz who lacks people's skills.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wa Lowasa kuwa rais 2015, of which im not against anyway...
 
Lowassa kama angekuwa chama kingine cha siasa angetufaa, lakini kwa chama hichohicho kilichomtosa, hawezi kuwa kiongozi bora kwasababu ccm wameshaozea kula nyama za watu na yeye Lawassa atakuwa hivyohivyo, labda aanzishe chama chake.
 
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.
tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo, "siwezi kuahidi mengi kama ilivyokuwa kwa serekali iliyopo madarakani hivi sasa.
Ninachoweza kuahidi kwa sasa Ndugu zangu WATANZANIA ni hichi..."Nichague mimi na hutojutia kunipa kura yako"

Nawatakia mapumziko Mema Tumkumbuke Mwalimu na tudumishe Amani
na Upendo aliotuachiaa." mwisho wa kunukuu

Na kauli yake kuhusu jamaa tuikumbuke au tuisahau?
 
Me naenda kulala kwanza ntaludi baadae,maana sijaelewa vizuri hayo ni maneno ya Lowasa au kuna mwingine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom