Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 190
Wadanganye bawacha unadhani watu wajinga kama wewe huyu fisadi anapendwa na mafisadi wenzake tu.He is a charisma figure of like Nyerere yaani kila akionekana popote watu uacha shughuli zao na kuja kumuona wakiwa na furaha tele kwa matumaini ya kupata faraja wanayoikosa. inashangaza kweli hadi anapigwa marufuku kwenda anakotaka kama katiba inavyoagiza.
Kwa hakika siasa ni tamuuu! Hata list of shame ya Mwembeyanga bado haijafutika leo kageuka kiboko ya mafisadi. Only in Tanzania my friend. Nchi ya wasadikishwaaaaa!!!Lowasa nikiboko ya mafisadi ndomaana miccm hawapati ucngizi ucku na mchana kwani wanajua atakuja kuwafumulia uchi wao akiwa prezida
Lowasa nikiboko ya mafisadi ndomaana miccm hawapati ucngizi ucku na mchana kwani wanajua atakuja kuwafumulia uchi wao akiwa prezida
Lowasa anapendwa na mafisadi,wauza madawa na wala rushwa kama alivyo yeye.
Kwa hakika siasa ni tamuuu! Hata list of shame ya Mwembeyanga bado haijafutika leo kageuka kiboko ya mafisadi. Only in Tanzania my friend. Nchi ya wasadikishwaaaaa!!!
Ndio huyu huyu au imekuaje tena....!?
Ndio huyu huyu au imekuaje tena....!?
Dah ukiangalia na kuchunguza kwa umakin utagundua kuna changes lzm visasi vihusike me naona ana nia nzuri lakini
Kaishawahonga mpaka hao kasoro Dr Slaa, chezea pesa weye..
Nikiwaambia mbowe kauza chama kwa Lowasa watu wanabisha. Dah shikamoo pesa