Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

Lowasa alienda Mwanza kutubu kwa Askofu anayemuamini atamfichia siri, Naona tumpe tu kura kama Dr. W. Slaa wa Ukweli hataweka jina maana wagomea wengine wa ccm waliobaki ni kama waliwahi kugongwa na pikipiki wakaangukia kichwa.
Ndo dini yenu ya mashetani mnafundishwa kutubu kwa maaskofu badala ya Mungu?
 
yaan ww mleta mada tungekua ana kwa ana ningekunyofoa kucha na meno bila ganz, ngja nikae kimya nisipigwe ban, pumbaf
 
Kumbe Mangula alimkataza Lowasa kwenda Mwanza??
huko ccm mnapelekana kwa utaratibu gani??
 
Daudi hyo mtoa post kichwa chake kinaingiza upepeo ...sasa anavuma kama debe tupu.Mangula si mkuu wa nchi ni makamu mwenyekiti wa ccm wala si mbunge ni mzee fulani yupogo tuuu....
 
Wikiendi hii atakuwa wilaya ya Mahenge mkoani Morogoro.
 
Ikulu lazima kuna kitu kikubwa sana pale, au tulazimishwe ihamishwe kutoka pale magogoni tuone kama wataendelea kupambana namna hii.
 
Mbona nguvu inayotumika kuusaka uraisi ni kubwa sana!
Ivi wote hawa wanavutwa na hamu ya kuongoza inchi au kwenda ikulu na kufanya biashara ili kurejesha fedha ambazo wanazitumia kwa sasa
 
Unaposema lowa Rais labda wa mafisadi.hatudanganyiki tena lowasa hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiooooooo.
 
Kosa walilolifanya wazambia kumchagua mtu mgonjwa hatuwezi watanzania wenye akili zetu kulirudia, ukitaka kuyajuaa ya Lowassa ulizia ya Sata
 
Heading yako na concept ni vitu viwili tofauti...... Sasa hayo ya Hotelini na Kwa baba Askofu kunapeleke aje siye kuamini kuwa kadharau Kamati ya Mangula.....

Leo vile vile alikuwa Mahenge andika pia na hilo. Acheni kumfanya Mungu awaze kama ninyi. Na mjaribu kushirikisha akili zetu na yale myafanyayo....
 
Kosa walilolifanya wazambia kumchagua mtu mgonjwa hatuwezi watanzania wenye akili zetu kulirudia, ukitaka kuyajuaa ya Lowassa ulizia ya Sata

Labda 2005 ulikuwa bado Mtoto, huyu tulienae alisemwa sana hayo maneno, n.a. ikafikia hadi kupata ajari pale Jangwani lakini hadi leo hata mafua hana.
 
Jana 29/10/14 Mhe. Lowassa aliingia Mwanza, na Fastjet ya saa 2:30 asubuhi. Akapokelewa na viongozi wa wilaya ya Ilemela akiwepo DC Mama Masenza. Akachukuliwa na gari la Idara ya Maji akifuatana na mpambe wake mkuu Ndg. Mgeja, mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga hadi hoteli ya Gold Crest, akapumzika na kuonana na mkuu wa mkoa wa Mwanza na wakuu wa wilaya za jirani kwa muda wa saa kama moja hivi na baadaye kuondoka kwenda jimbo kuu la Katoliki.
.
Kumbuka pia Mh. Pinda alisema kupitia BBC dira ya Dunia kuwa yeye ameanza kampeni za kimya kimya. Je Pinda naye anaidharau kamati ya Mangula. Basically post naona haina jipya sana,
 
Back
Top Bottom