TZ TUSIANGAMIE
Member
- Jan 4, 2014
- 60
- 31
@ jojipoji,Nimechagua na kupiga kura mkutano mkuu wa taifa kuanzia Wakati wa mkapa, nimekuwa Mpiga kura Wakati wa jk pia,nadhani Jambo Hilo wewe ulikuwa unalisikia tuu au kusoma kwenye magazeti, huwezi kufananisha maneno ya kizushi waliyosema kuhusu jk ya Wakati ule na uhalisia kuhusu Lowassa ambao ata kwa macho tuu ukikutana nae utagundua..,anatembea Kama robot, anatetemeka Kama Muhammad Ali, wewe nadhani utakuwa unatumika tuu Kama condom tatizo lako, ndio wale wale kina ocampo....