Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
Hofu ya nini ??? MNA.uogopa Kwa sababu uchaguzi umeisha
Mnajua Na watu watamsikiliA bila ushabiki
Mnajua Na watu watamsikiliA bila ushabiki
Ukilala kutwa unamuota lowasa tu eh!watu wengine hawana, tabia ya self evaluation
Sijui wametumia kigezo gani kukupa ujunior expert member, u don't deceive it for sure.
Maneno yanakua marefu, halafu hiki kitendea Kazi nikitumiacho nikiandika kiswahili kinanipa taabu sana, hata Mimi natamani niandike Kiswahili mwanzo mwisho. Hata hivyo Asante kwa Ushauri.Tumia kiswahili tu
cjui kama anawashauri, au kama anao wanamshauri vibaya.
binafsi simkubali magufuli lakini kwa Lowasa sasa itakua kichekesho kuzani attapata attention tena.
mzee is over u can't change tym back.
ulivoondoka ccm ndio uliojimaliza kabisa.
ushauri wangu kama wanaokuzunguka wameshindwa PUMZIKA ULEE FAMILA. USIJE UKAMKASIRISHA MWAKIEMBE ASIJEKUFUFUA ILE KITU.
Bado wachagga wanamuaminisha anaweza kushinda wamtafune vizuri.
Si unajuwa wameshalipata zezeta, wamekamua maziwa sasa wanataka kuhakikisha wanakamua mpaka damu.