Lowassa anachekesha, hawezi pata attention tena

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
cjui kama anawashauri, au kama anao wanamshauri vibaya.

binafsi simkubali magufuli lakini kwa Lowasa sasa itakua kichekesho kuzani attapata attention tena.

mzee is over u can't change tym back.

ulivoondoka ccm ndio uliojimaliza kabisa.

ushauri wangu kama wanaokuzunguka wameshindwa PUMZIKA ULEE FAMILA. USIJE UKAMKASIRISHA MWAKIEMBE ASIJEKUFUFUA ILE KITU.
 
Sijui wametumia kigezo gani kukupa ujunior expert member, u don't deceive it for sure.
 
Daah!? Kuna wakati huwa najiuliza maana halisi ya Mtindio wa ubongo ninapokutana na thread kama hizi!
 
ati anataka kuzunguka Tanzania nzima anazan atadekiwa tena hahahahaa mbav zang mie
 
Kama CCM wanavyo watumia wasanii kukusanya watu ndivyo chadema wanavyiofanya kwa kumtumia Lowassa, Niliwahi kushauri familia ya Lowassa hasa Fred baba anakutegemea mshauri aishi kwa amani ktk siku zake zilizobaki duniani wapiga dili wasimsumbue
 
Hivi kumbe mafisadi kuchukuliwa hatua ni mpaka watu flani wakasirishwe?Nonsense
 
Hehehe hamtoamini jamaa atarudi CCM mpo mnashuhudia. Yule jamaa kitu hana ni aibu.
 
Mleta mada mwenyewe tayari umeshampa lowassa attention,teh teh teh
 
cjui kama anawashauri, au kama anao wanamshauri vibaya.

binafsi simkubali magufuli lakini kwa Lowasa sasa itakua kichekesho kuzani attapata attention tena.

mzee is over u can't change tym back.

ulivoondoka ccm ndio uliojimaliza kabisa.

ushauri wangu kama wanaokuzunguka wameshindwa PUMZIKA ULEE FAMILA. USIJE UKAMKASIRISHA MWAKIEMBE ASIJEKUFUFUA ILE KITU.
Usiwatibulie watu wanapiga dili za kupiga pesa hujui kuwa cha mlevi huliwa na mgema.
 
Narudia tena huyu Mzee anataka kuchafua mazingira, tumefanya usafi juzi wa kuzibua mitaro na kuondoa 'VINYESI' hivi hana washauri!
 
cjui kama anawashauri, au kama anao wanamshauri vibaya.

binafsi simkubali magufuli lakini kwa Lowasa sasa itakua kichekesho kuzani attapata attention tena.

mzee is over u can't change tym back.

ulivoondoka ccm ndio uliojimaliza kabisa.

ushauri wangu kama wanaokuzunguka wameshindwa PUMZIKA ULEE FAMILA. USIJE UKAMKASIRISHA MWAKIEMBE ASIJEKUFUFUA ILE KITU.

Unasumbuliwa UKADA hamna kingine. Kiongozi aliyepata all most 40 percent pamoja na kura kuchezewa. Unatokea kibaka unambeza !!! Lazima we ni mgonjwa
 
cjui kama anawashauri, au kama anao wanamshauri vibaya.

binafsi simkubali magufuli lakini kwa Lowasa sasa itakua kichekesho kuzani attapata attention tena.

mzee is over u can't change tym back.

ulivoondoka ccm ndio uliojimaliza kabisa.

ushauri wangu kama wanaokuzunguka wameshindwa PUMZIKA ULEE FAMILA. USIJE UKAMKASIRISHA MWAKIEMBE ASIJEKUFUFUA ILE KITU.

Thread kama hizi ni za kuondoaa
 
Anataka kujitambulisha kwamba ndiye mmiliki halali wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom