Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
Kweli lowasa ni jembe na ni mtu mwenye ujasiri na msimamo ndio maana tunataka apokee hii nchi 2015 kwa sababu nchi imeyumba sana na uchumi umedorora sana kumbe ata nyerere alijua lowassa ana kiburi na ana msmamo