TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Na lazima litafikiwa tu.Haijalishi sisi tunataka kodi zetu hata huko CCM pia wanabanwa na wanalipa hivyo fisadi (lowasa) lenu ni lazima lilipe kodi!
Na lazima litafikiwa tu.Haijalishi sisi tunataka kodi zetu hata huko CCM pia wanabanwa na wanalipa hivyo fisadi (lowasa) lenu ni lazima lilipe kodi!
Barbosa mustakabali wa nchi haujahaujadiliwi kwa mihemuko na jazba. na ndio maana Tz iko nyuma maana yote kwa kuendekeza siasaHakuna cha point hapo mimi nawajua sana Wafanyabiashara ukiona wanalia ujue wamebanwa kuna sababu kwa nini wameamua kufanyia huo Mkutano wao Arusha na hiyo yote ni kwa sababu ya VAT ya kwenye Utalii wao ndiyo wanaofanya hiyo biashara na wamekuwa hawalipi kodi miaka yote, hivyo naelewa ninachokiongelea na ndiyo maana hapo amaeongela Utalii haswa huyo Meya!
Lowassa anazidi kujimaliza.Niwatoto wa Akili pekee watashabikia. Upuziwake huo
Kauli za kijinga kama za lowassa lazima ziamshe mihemuko ya wazalendo hakuna namna unaweza kuizuia. Anaongea upuuzi sana.Barbosa mustakabali wa nchi haujahaujadiliwi kwa mihemuko na jazba. na ndio maana Tz iko nyuma maana yote kwa kuendekeza siasa
Nibora lijimalizeLowassa anazidi kujimaliza.
Barbosa mustakabali wa nchi haujahaujadiliwi kwa mihemuko na jazba. na ndio maana Tz iko nyuma maana yote kwa kuendekeza siasa
Sawa mkuu muda utasemaKauli za kijinga kama za lowassa lazima ziamshe mihemuko ya wazalendo hakuna namna unaweza kuizuia. Anaongea upuuzi sana.
Team Magufuli hakuna cha UCCM hapa. Huyu nduli wa Ufisadi lazima apingwe kila kona hasa anapotaka kuupotosha UmmaKweli Uzi umevamiwa na UVCCM! Poleni
hivi Mh Lowassa mtamshitaki lini kwa ufisadi?maana inavyoelekea mahakama yake iko humu jf.nadhani wewe utakuwa mzee wa baraza!Haijalishi sisi tunataka kodi zetu hata huko CCM pia wanabanwa na wanalipa hivyo fisadi (lowasa) lenu ni lazima lilipe kodi!
Zama zake za ufisadi ziliisha sikunyingiTeam Magufuli hakuna cha UCCM hapa. Huyu nduli wa Ufisadi lazima apingwe kila kona hasa anapotaka kuupotosha Umma
hivi Mh Lowassa mtamshitaki lini kwa ufisadi?maana inavyoelekea mahakama yake iko humu jf.nadhani wewe utakuwa mzee wa baraza!
Tuliahivi Mh Lowassa mtamshitaki lini kwa ufisadi?maana inavyoelekea mahakama yake iko humu jf.nadhani wewe utakuwa mzee wa baraza!
Wa monduli pekeeRais wa mioyo ya watanzania